Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Vipi ule mzigo sasa 🙄Jf kutakua Kuna pisi Kali sana, mtu anaamua kuja na ID mpya kutega aisee
Vipi ule mzigo sasa 🙄Jf kutakua Kuna pisi Kali sana, mtu anaamua kuja na ID mpya kutega aisee
Watu mnajua kuchania wenzenu mikeka!Walombwe tuu, sasa tutafanyaje na nyapu wamepewa bure 😂
Hapana. Ni milioni 800,000,000Dar Es Saalam (Bongo) inatuharìbia sifa ya nchi. Huu ni upuuzi. Mtu mwenye mauzo ya 800,000,000 hawezi kuja JF kujitangaza. Never
Nakuja hapo pm tuendelee tulipoishia sawaVipi ule mzigo sasa 🙄
Sa tutafanyaje na mtu anatumia mali yake mwenyeweWatu mnajua kuchania wenzenu mikeka!
Uje umekamilika😁Nakuja hapo pm tuendelee tulipoishia sawa
Basi muacheniiSa tutafanyaje na mtu anatumia mali yake mwenyewe
Sijamshika 😎Basi muachenii
Mzee, c nshasema Zingatia kwenye namba Achana na hayo maneno, au ww hujaona hapo?Kama hujui hesabu utaona huyo wa tandahimba anazo.
Nenda hata memkwa upate za kuvukia barabara.
hapo faida ni laki 8Asanteni sana wataje wangu kutoka tanzania,Zambia,Rwanda na malawi kwa mwanzo huu wa mauzo mmnipa mwanga wa kufika mbali
Ni biashara gani hioo mkuuAsanteni sana wataje wangu kutoka tanzania,Zambia,Rwanda na malawi kwa mwanzo huu wa mauzo mmnipa mwanga wa kufika mbali
Siwezi kukusaliti huyo mtani wangu tu, mi nawewe mpaka tuzikwe wote😎Nimeumia sana mpenzi, kumbe unanisaliti isitoshe bado sijakufaidi vizuri ?? 🥴🥴
Mwamba kafanya mauzo ya trillion 800 kwa siku moja tu!Milioni 800,000,000 = 800,000,000,000,000. Duh hizi ni hela nyingi sana.