Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 6,168
- 15,748
OK baby, ❤️❤️Nimekumiss piaa, ahadi yetu ni weekend hii I promise 🥰
OK baby, ❤️❤️Nimekumiss piaa, ahadi yetu ni weekend hii I promise 🥰
Ni milioni 800Labda alikua anamaanisha Tsh 8m mauzo yake siku ya kwanza akajichanganya na masifuri mengi maana hesabu hana ila ana pesa..
Hongera mkuu, haya tuambie biashara gani au ni siri yako?Ni milioni 800
Kweli kabisa hii inavuka matrilioni ambayo hata bilionea namba moja duniani hana kiasi hiki.Hii hela hata Elon Musk Hana.
Milioni 800,000,000!
Biashara gani hiyo uuze 800m siku moja na Tanzania wanunuzi ni kuanzia saa mbili mpaka saa kumi jioni yaani kila saa ulikua unauza 100m acha utani huo mkuu..Ni milioni 800
umepiga mahesabu ya wapi????????????????????? ni trillion 800.anyway huyu jamaa JF amejijaza kuwa ni tajiri wa kutupwa na sifa kila kona urithi matajiri ma CEO anyway ni raha yake.Milioni 800,000,000 ni 800,000,000,000. Unafanya biashara gani hiyo ya bilioni 800 kwa siku? Kuna wajinga wengi sana nchi hii.
Mkuu nina dawa ya yanayokusibu.Ni milioni 800
Na mimi kilaza kama mtoa mada...umepiga mahesabu ya wapi????????????????????? ni trillion 800.anyway huyu jamaa JF amejijaza kuwa ni tajiri wa kutupwa na sifa kila kona urithi matajiri ma CEO anyway ni raha yake.
Mtoa mada unajua ugonjwa wa MEGALOMANIA na NARCISIM