Siku ya kwanza kwenye biashara, mauzo milioni 800

Siku ya kwanza kwenye biashara, mauzo milioni 800

Asanteni sana wataje wangu kutoka tanzania,Zambia,Rwanda na malawi kwa mwanzo huu wa mauzo mmnipa mwanga wa kufika mbali
Hivi unajua ulichoandika hapo?! Pamoja ni kwamba ni mfanyabiashara kama ulivyojinasibu lakini you're lacking something mathematically. Being overwhelmed isikufanye udhihirishe ujinga ulionao kichwani. Hata anayeongoza kwa utajiri duniani hana hiyo hela uliyoiandika hapo🤣
 
Jf kutakua Kuna pisi Kali sana, mtu anaamua kuja na ID mpya kutega aisee
Screenshot_2026-08-06_010136.jpg


Ni humu tu......
 
Mkuu hivi hyo hela aliyo iandika jamaa umeielewa.

Yani million million zipo (800,000,000) manake hii hela kwa kawaida haisomeki sijui unaelewa ?

Anyway huyo mleta maada katuonaje ?
Ww shika hizo namba, hayo maneno achana nayo
 
Asanteni sana wataje wangu kutoka tanzania,Zambia,Rwanda na malawi kwa mwanzo huu wa mauzo mmnipa mwanga wa kufika mbali
Milioni 800,000,000 ni 800,000,000,000. Unafanya biashara gani hiyo ya bilioni 800 kwa siku? Kuna wajinga wengi sana nchi hii.
 
Back
Top Bottom