Siku ya maandamona Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kutoka kwenye makazi yako

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Nikiwa kama mtanzania mpenda amani ,naomba vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yetu vihakikishe kuwa siku ya hayo maandamano uchwara ya chadema ,viongozi wote wa chama haswa Mzee Mbowe,Mnyika ,Tundu Lissu,Mpuuzi Lema na Mjnga Sugu hatakiwi kutoka nje ya uzio wa nyumba zao kwa siko husika.
 
Tutamtanguliza Boniphace Jacob mbele na ile kitambi yake tunajua hata mkimkamata ye mwenyewe anajaa kwenye difenda hadi dereva anakosa nafasi alafu tuone mtatuzuiaje
 
Endeleeni kudanganyana
 
Basi utaruhusiwa wewe tu kutoka.
 
Inaonekana kama picha/taswira inaonesha hali ya mgonjwa imezidi kuwa mbaya. Yafaa kuzuia maradhi, kuliko kutibu maradhi.
 


Polisi wangefanya kazi yao na kutafuta mateka badala ya kushinda na wakina Lissu. Uchawa tu Mama mwenyewe hana habari wala hajali.

Kama unapenda amani kweli tuletee ndugu waliotekwa sio ujinga jinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…