Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Hizo bakora nikikumbuka naumia sana hata wakati wa kuandika darasani nakumbuka mwalimu wa somo la hisabati kila akiingia darasani anaanza na mimi.
Mimi walichapa tuu..ila ilishindikana..
 
Namba 3 ni kweli, mpaka mama ananiambiaga E una vistory vya uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwenyewe ni mashoto... Ni kweli mashoto tuna akili ila sasa tuzipeleke kwenye kutengeneza hela...
 
Mimi mwenyewe ni mashoto... Ni kweli mashoto tuna akili ila sasa tuzipeleke kwenye kutengeneza hela...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…