mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Kuna nukuu isemayo "An empty mind is a devil workshop" . Sasa hapa katika kuwaza nimejikuta nafikiria itokee labda chance ya ku select nyimbo niipendayo ichezwe katika siku ya mazishi yangu ningetamani nichezewe hii. Ili inisindikize huko kunaposemekana kuna Afterlife.
View: https://youtu.be/yKNxeF4KMsY?si=JNqtB0JCQ1KtvfBu
Je wewe ungependa ngoma gani ichezwe siku ya mazishi yako?😂😂
View: https://youtu.be/yKNxeF4KMsY?si=JNqtB0JCQ1KtvfBu
Je wewe ungependa ngoma gani ichezwe siku ya mazishi yako?😂😂