Kuna nukuu isemayo "An empty mind is a devil workshop" . Sasa hapa katika kuwaza nimejikuta nafikiria itokee labda chance ya ku select nyimbo niipendayo ichezwe katika siku ya mazishi yangu ningetamani nichezewe hii. Ili inisindikize huko kunaposemekana kuna Afterlife. View: https://youtu.be/yKNxeF4KMsY?si=JNqtB0JCQ1KtvfBuJe wewe ungependa ngoma gani ichezwe siku ya mazishi yako?ππ