Siku ya nne sasa hakuna maji hapa Sinza-Palestina. DAWASCO ipo?

Siku ya nne sasa hakuna maji hapa Sinza-Palestina. DAWASCO ipo?

Uponyaji na uzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
666
Reaction score
1,255
Salamu

Maeneo tajwa hapo juu tulishasahau adha ya kukatika kwa maji. Ila sasa tupo siku ya nne maji hayatoki na hata hakuna taarifa kwanini hali imekuwa hivyo.

Wiki mbili zilizopita yalikatika kwa siku mbili japo ilitangazwa maana ni almost Mji mzima haukuwa na maji.

DAWASCO mpo wapi? Waziri bado anapata mshahara?
 
Salamu

Maeneo tajwa hapo juu tulishasahau adha ya kukatika kwa maji. Ila sasa tupo siku ya nne maji hayatoki na hata hakuna taarifa kwanini hali imekuwa hivyo.

Wiki mbili zilizopita yalikatika kwa siku mbili japo ilitangazwa maana ni almost mji mzima haukuwa na maji.

Dawaso mpo wapi? Waziri bado anapata mshahara?
Mwacheni Mama afanye kazi.
#KaziIendelee
 
Poleni sana, hua wanatoa taarifa na taarifa walishatoa...
 
Tokea Hamnazo aondoke shida ya maji imeanza kurudi
 
Back
Top Bottom