Siku ya pili hii nalalia mhindi wa kuchoma na Maji. Naona kama ni kutaka tafutana ubaya

Siku ya pili hii nalalia mhindi wa kuchoma na Maji. Naona kama ni kutaka tafutana ubaya

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Jana asubuhi shem aliniambia nisipeleke watoto shule. Atawapitisha yeye. Nikaamka saa 4 naenda mezani chai hamna. Namuuliza dada wa kazi ananiambia shem alimaliza.

Mchana hakikupikwa kitu. Nikanyamaza. Usiku nikaona wanatengewa watoto chips kuku mimi nimesubiri mpaka saa 3 holla. Wameenda kulala. Nikatoka nje nikanunua mhindi wa kuchoma wa 500 wakaniwekea na chachandu nikaja nikala nikanywa na maji nikalala.

Leo hivyo hivyo. Naona kama Shemeji na huyu dada wa kazi wameingia sijui nyinyi mnaita ubia. Yaani kushirikiana. Wameingia ubia flani kama kuninyima msosi. Siwaelewi maana naona wamekuwa karibu sana toka nimewafumania hawaeleweki kabisa.

Huyu binti nimempokea mimi kabisa hapa home. Wanawake si wa kuwawekea dhamana kabisa. Mimi nimemla mara moja tu tena kishingo upande siku ya 3 baada ya kuwafumania.

Nakumbuka nilibembeleza sana kuwa basi anionee huruma nami angalau nigusishe hata kwa nje tu. Nikabembeleza sana. Akaruhusu kuwa nichezee nje tu nisiingize. Nlipofanya hivyo akalegea nikaingiza.. baadaye ndo akaninunia.

Sijui alikuja mwambia nini shemu naona sasa wamekuja na huo mkakati wao wa kishenzi. Kama ni kimwambia sister kutawaka moto. Maana yupo safarini Dodoma. Mi nawaangalia tu.

Sasa leo tena nalalia mhiindi wa kuchoma na maji. Kesho asubuhi sitokubali aiseee.... Maana nimeshahangaika sana kwa ajili ya hapa home. Jasho la mtu haliendi bure.
 
Hao watoto unaopeleka shule wao wanasoma Tanzania hii hii au mana shule zote zmefungwa Tanzania nzima..
Siku nyingine punguza eriki kwenye chai yako
Atakuja kubadiri aseme anawapelekaga tuisheni[emoji1787]
Haka kajamaa hakana tofauti na ile njemba ya kuitwa Mpwayungu village story zao nyingi ni chai ya tangawizi
 
Back
Top Bottom