Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Hata mimi naona 😃😃Anamsaidia sister wake kuolewa 😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi naona 😃😃Anamsaidia sister wake kuolewa 😃
Hapo wewe ndio utajiharibia. Kuingilia mahusiano baina ya wenza katika ndoa, watu na wanawe, ni hatari na kamwe hautaaminika hata kama una nia njema. Waache wenyewe na maisha yao. Tafuta ya kwako.Jana asubuhi shem aliniambia nisipeleke watoto shule. Atawapitisha yeye. Nikaamka saa 4 naenda mezani chai hamna. Namuuliza dada wa kazi ananiambia shem alimaliza.
Mchana hakikupikwa kitu. Nikanyamaza. Usiku nikaona wanatengewa watoto chips kuku mimi nimesubiri mpaka saa 3 holla. Wameenda kulala. Nikatoka nje nikanunua mhindi wa kuchoma wa 500 wakaniwekea na chachandu nikaja nikala nikanywa na maji nikalala.
Leo hivyo hivyo. Naona kama Shemeji na huyu dada wa kazi wameingia sijui nyinyi mnaita ubia. Yaani kushirikiana. Wameingia ubia flani kama kuninyima msosi. Siwaelewi maana naona wamekuwa karibu sana toka nimewafumania hawaeleweki kabisa.
Huyu binti nimempokea mimi kabisa hapa home. Wanawake si wa kuwawekea dhamana kabisa. Mimi nimemla mara moja tu tena kishingo upande siku ya 3 baada ya kuwafumania.
Nakumbuka nilibembeleza sana kuwa basi anionee huruma nami angalau nigusishe hata kwa nje tu. Nikabembeleza sana. Akaruhusu kuwa nichezee nje tu nisiingize. Nlipofanya hivyo akalegea nikaingiza.. baadaye ndo akaninunia.
Sijui alikuja mwambia nini shemu naona sasa wamekuja na huo mkakati wao wa kishenzi. Kama ni kimwambia sister kutawaka moto. Maana yupo safarini Dodoma. Mi nawaangalia tu.
Sasa leo tena nalalia mhiindi wa kuchoma na maji. Kesho asubuhi sitokubali aiseee.... Maana nimeshahangaika sana kwa ajili ya hapa home. Jasho la mtu haliendi bure.
Ubia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkakati[emoji1787][emoji1787]Jana asubuhi shem aliniambia nisipeleke watoto shule. Atawapitisha yeye. Nikaamka saa 4 naenda mezani chai hamna. Namuuliza dada wa kazi ananiambia shem alimaliza.
Mchana hakikupikwa kitu. Nikanyamaza. Usiku nikaona wanatengewa watoto chips kuku mimi nimesubiri mpaka saa 3 holla. Wameenda kulala. Nikatoka nje nikanunua mhindi wa kuchoma wa 500 wakaniwekea na chachandu nikaja nikala nikanywa na maji nikalala.
Leo hivyo hivyo. Naona kama Shemeji na huyu dada wa kazi wameingia sijui nyinyi mnaita ubia. Yaani kushirikiana. Wameingia ubia flani kama kuninyima msosi. Siwaelewi maana naona wamekuwa karibu sana toka nimewafumania hawaeleweki kabisa.
Huyu binti nimempokea mimi kabisa hapa home. Wanawake si wa kuwawekea dhamana kabisa. Mimi nimemla mara moja tu tena kishingo upande siku ya 3 baada ya kuwafumania.
Nakumbuka nilibembeleza sana kuwa basi anionee huruma nami angalau nigusishe hata kwa nje tu. Nikabembeleza sana. Akaruhusu kuwa nichezee nje tu nisiingize. Nlipofanya hivyo akalegea nikaingiza.. baadaye ndo akaninunia.
Sijui alikuja mwambia nini shemu naona sasa wamekuja na huo mkakati wao wa kishenzi. Kama ni kimwambia sister kutawaka moto. Maana yupo safarini Dodoma. Mi nawaangalia tu.
Sasa leo tena nalalia mhiindi wa kuchoma na maji. Kesho asubuhi sitokubali aiseee.... Maana nimeshahangaika sana kwa ajili ya hapa home. Jasho la mtu haliendi bure.
Simu kuuza ni ngumu kaka. Mawasiliano ni muhimu. Haya humu jf sitoweza kuingia tenaUza simu rud kijijin kwen uAnze upya
48 siyo mingiUna miaka mingapi??
Au nimekosea apo?Ubia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkakati[emoji1787][emoji1787]
Umekharibiwa sana huko uliko kaaNjoo ukae kwangu kazi Yako itakua kuangalia tv na kula unachotaka toka Kwa shemej Yako anakutesa, ila Sasa nkitaka chochote utakua unanipa?
Hawa watu nimewasaidia sana inaumiza moyo wanguHama hapo kwa shemeji yako mkuu kapange ata chumba cha udongo.
Ni aibu sana kwa kijana kama wewe kuja na mada kama hii hapa jukwaani
Toka wamekufundisha neno chai basi kila sehemu unatumia. Darasa la 4 hawajafunga shule kwa taarifa yako.Hao watoto unaopeleka shule wao wanasoma Tanzania hii hii au mana shule zote zmefungwa Tanzania nzima..
Siku nyingine punguza eriki kwenye chai yako