And revenge tastes best when served cold.The world is circle and when karma comes back it comes with a revenge.
Nitag kwenye huo uzi dada angu..Nimemuwaza mtu mmoja humu, alikuja kuweka uzi akimuonya hakimu, aliyewafanyia mabaya kwenye kesi yao. Alimpa mpaka Jumatano, yule hakimu alifariki. Toka siku hiyo, mtoa uzi naye hakuonekana. I wish aje atusaidie sasa na hawa wenye madaraka ya damu.
Wa miaka mingi, hata ID yake nilishaisahau, ila nakumbuka huo uzi. Mtu anayekumbuka atatusaidia kuuleta tena.Nitag kwenye huo uzi dada angu..
Muhimu sana
Huo ndiyo ukweli, walivyokanusha tu jana nikajua tayari wameshamuua kabisa, hawezi kumrudisha tenaSina uhakika kama mdude bado yupo hai ni huzuni kuona tunateswa na kuuwawa na hawa ndugu zetu kisa fedha.
Huyu maza ni katili haswa amejificha kwenye dini lakini ni mbaya kuliko shetaniMadhara ya muungano ndiyo haya.Tusingekuwa na muungano tusingerithishwa liuaji la watanganyika.
Nimemuwaza mtu mmoja humu, alikuja kuweka uzi akimuonya hakimu, aliyewafanyia mabaya kwenye kesi yao. Alimpa mpaka Jumatano, yule hakimu alifariki. Toka siku hiyo, mtoa uzi naye hakuonekana. I wish aje atusaidie sasa na hawa wenye madaraka ya damu.
Wamkumbuke wapi? Wenzao wanakimbilia Canada, yeye bado Yuko kwao Mbea anaiahi nyumba ya Familia alafu anajifanya mjuaji 🥺Na mbaya zaidi wana chadema wameanza kumsahau.
Hakimu wa mahakama ya Ilala hakumaliza siku 7😂Nimemuwaza mtu mmoja humu, alikuja kuweka uzi akimuonya hakimu, aliyewafanyia mabaya kwenye kesi yao. Alimpa mpaka Jumatano, yule hakimu alifariki. Toka siku hiyo, mtoa uzi naye hakuonekana. I wish aje atusaidie sasa na hawa wenye madaraka ya damu.
Umekumbuka kaka Mshana Jr nawewe kumbe 🤣🤣🤣🤣🤣 yule mtu nimemkumbuka sana leo. Yaani ilikuwa onyo, kilichofata msiba ukatangazwa na wote tukashuhudia.Hakimu wa mahakama ya Ilala hakumaliza siku 7😂