Siku ya pili sasa familia Mdude Nyagali ipo kwenye maumivu makali

Duuuh ,true story? Weka uzi huo tuupitie ,je nani alithibitisha kifo cha huyo hakimu?
Ukweli kabisa King Kong III si umeona hata Kaka Mshana kakumbuka nayeye. Alikuja jamaa humu akatoa onyo. Yaani siku ya mwisho aliyoitaja, tukasikia huyo hakimu kavuta, maana alimtaja majina yake yote na aliyefariki majina ni hayohayo na kituo chake cha kazi sawasawa.

Walisema aliumwa ghafla, akafariki. Kuna watu humu duniani 🙌🙌🙌🙌 na jamaa wa onyo alipotea mpaka leo. Uzi mpaka mtu akumbuke kichwa cha habari au ID ya mwamba.
 
Daaah ,huyo mtu ilitakiwa awafanyie wasiojulikana.
 
Back
Top Bottom