Siku ya UKIMWI duniani na taharuki kwa WanaJF

Mkuu umenivunjia heshima wewe mwanaume mwenzangu nitakutaka vipi aiseh..... Dunia inamaajabu sana hapa tukubaliane Mods waunganishe ID basi tupate ukweli.... Alafu ule uzi ulioweka picha ya watu katoe maana nimekupa task kule mpaka sahizi hujajibu cutelove
 
Yan wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu mimi nipo tayari kubet na huyu MAGALLAH R na ID yake ya pili ya cutelove kama hizo ID 2 pamoja na ile ya Priscilla na chizi maarifa sio zake nipigwe ban na nisionekane tena JF.....

Leo kaanzisha uzi alafu cutelove kawaambia wakwanza Kujibu basi wakubwa tukaelewa kinachoendelea alafu jamaa akaanzisha uzi wa kifo cha member humu tukajua kumbe alitumia ID ya Priscilla kusuka mchezo mzima
 
Msimu wa vibweka jf umefika

Ni kuunga unlimited bundle tu na kuscroll
 
Ukikutwa kweli una HIV mkuu kupotezea sio jambo jepesi kabisaa mkuu, usikiege hivo hivo yasikukute ujasili utakuisha nakwambia

nimeishi na watu wenye virusi na miaka mingi tu bado nawaona ila kwa kansa na homa ya ini nimenyoosha mikono
 
sio vizuri lakini kuwaweka watu katika tension. kama ni real it's ok lakini kama ni uongo ili upate attention sio poa
Mkuu trust me, hizi mada hazikuwa na ukweli wowote na hata Kama zinao basi ni kwa asilimia chache sana ila lengo hasa lilikuwa vuta tension ya watu tu.
 
Mkuu hii ni attention seeker cheza na magallah r,cutelove,priscilla, chizi maarifa anaingia badae hapa wote ni ID moja maana issue aliibua Priscilla sijui nkaona cute love nae analeta vimaelezo vinavyoendana mda huo Jana chizi maarifa akaanza jisemesha kuwa atayapitisha mtu sijui nini..... leo magallah amereport mtu amekufa yani kwa siku 3 tu matukio yote yametokea kwa haraka namna hii haiji kabisa
 
Huwezi amini juzi nimelala nimeenda Club nikaopoa demu, ila nilipokumbuka nyuzi za JF nimelala mpaka asubuhi ninamuangalia tu.

Na alivyotaka hela Kabla ya kubanjuana, ndipo nilipopata na kisingizio cha kulala kimyakimya.
 
Magallah r na kundi la ID feki ndio anawapeleka kasi.... Mods wakiamua kuunganisha ID basi Magallah r, cute love, Priscilla na chizi maarifa wote watakutwa ni ID moja
Mkuu mbona umenikazia sana. Una ushahidi wa hicho usemacho.
 
Mkuu trust me, hizi mada hazikuwa na ukweli wowote na hata Kama zinao basi ni kwa asilimia chache sana ila lengo hasa lilikuwa vuta tension ya watu tu.

Mimi nilisoma ya kwanza tu, Nyingine nilikuwa naletewa links whattsap lakini sikuzifungua maana sikuona kama ni real sana. Ila Hii repitition ya threads inaweza leta tension ya ukweli..

Kwanza mtu ukipata attention Jf inakusaidia nini au mtu unakuwa mpweke hadi unafanya mambo ya ajabu 😰😰😰😰
 
Mkuu jamaa anataka awachanganye wazee wa PM maana wanahaha kweli yani ila mimi nakwambia Mods wakiunganisha ID sijui jamaa ataambia nini watu
Mkuu nakuona tu unavyoweweseka
 
Mkuu hii ni attention seeker cheza na magallah r,cutelove,priscilla, chizi maarifa anaingia badae hapa wote ni ID moja maana issue aliibua Priscilla sijui nkaona cute love nae analeta vimaelezo vinavyoendana mda huo Jana chizi maarifa akaanza jisemesha kuwa atayapitisha mtu sijui nini..... leo magallah amereport mtu amekufa yani kwa siku 3 tu matukio yote yametokea kwa haraka namna hii haiji kabisa

Kama ni kweli mods wafanye kazi yao..
Hizi tension sio kabisa
 
nimeishi na watu wenye virusi na miaka mingi tu bado nawaona ila kwa kansa na homa ya ini nimenyoosha mikono
Kweli mkuu hayo magonjwa ni hatari sana lakini HIV inakitisho chake Cha kipekee kabisaa, yani mfano unapokuwa porini Kuna viumbe hatari Kama nyoka wenye sumu kali sana lakini mtu ukiwa porini hofu yako ya kwanza ni Simba wengine hao ni matokeo tu mkuu.
 
Mkuu mimi nipo tayari kubet na huyu MAGALLAH R na ID yake ya pili ya cutelove kama hizo ID 2 pamoja na ile ya Priscilla na chizi maarifa sio zake nipigwe ban na nisionekane tena JF.....

Leo kaanzisha uzi alafu cutelove kawaambia wakwanza Kujibu basi wakubwa tukaelewa kinachoendelea alafu jamaa akaanzisha uzi wa kifo cha member humu tukajua kumbe alitumia ID ya Priscilla kusuka mchezo mzima
Mmh Kama ni kweli haya basi hatari asee, Inabidi tutulize hali ya hewa watu wasije kuja kufa kwa presha bure.
 
Huwezi amini juzi nimelala nimeenda Club nikaopoa demu, ila nilipokumbuka nyuzi za JF nimelala mpaka asubuhi ninamuangalia tu.

Na alivyotaka hela Kabla ya kubanjuana, ndipo nilipopata na kisingizio cha kulala kimyakimya.
Mkuu, nimecheka sana asee, hawa jamaa sio watu wazuri kabisa hadi umeshindwa kula tunda mkuu, dooh!.
 
Back
Top Bottom