Siku ya UKIMWI duniani na taharuki kwa WanaJF

Siku ya UKIMWI duniani na taharuki kwa WanaJF

Huwezi amini juzi nimelala nimeenda Club nikaopoa demu, ila nilipokumbuka nyuzi za JF nimelala mpaka asubuhi ninamuangalia tu.

Na alivyotaka hela Kabla ya kubanjuana, ndipo nilipopata na kisingizio cha kulala kimyakimya.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwezi amini juzi nimelala nimeenda Club nikaopoa demu, ila nilipokumbuka nyuzi za JF nimelala mpaka asubuhi ninamuangalia tu.

Na alivyotaka hela Kabla ya kubanjuana, ndipo nilipopata na kisingizio cha kulala kimyakimya.

hahaaaaaaa kama nakuona anavyojishebedua kitandani afu wewe unakoroma unajifanya uko mbingu ya saba hahahahah
 
Mkuu jamaa anamambo ya ajabu sana yani kwa kupitia ID ya Priscilla amewapeleka kasi wazee wa PM hawana hamu nae tena.....ila hamna mwanamke anaeweza jieleza vile sio rahisi kama tunavyodhania tena eti anajieleza kwa ID mpya...
HaHaa
 
Mkuu mimi nakwambia ukweli hakuna kuweweseka inakuwaje matukio yako uyapange yatimie yote ndani ya siku 3 uliwaza nini.....

Kwanza ulitumia ID yako ya Priscilla, kujitambulisha wewe muathirika ulivyomaliza ukaenda kwenye ID yako ya pili ambayo ndio kongwe ya Cute love kuelezea wanaume wa humu hawapendi tumia kinga tukasema sawa.....

Ukatumia ya chizi maarifa kutisha kuwa unamjua ulietembea nae maana utamuua tukawa tunafuatilia kwa ukaribu, leo umekuja na ID yako sasa kutupa taarifa kuwa member mwenzetu amefariki...

What a coincidence matukio yote hayo yatokee karibu yako ndani ya siku 3....uwe unatumia akili ya kutulia mkuu na sio vizuri kuwashtua watu humu kuna wengine wanapresha utawaua kisa kiki za ajabu
Eeh ehh..kumbe palikuwa hapa toshi humu ndani
 
Jf imekuwa ya moto kwelikweli wiki hii..viwembe tunaingia kwa kunyatanyata

Tusiuze mechi wakuu,,Tutumie Latex ili tulast longer
Latex uliishaitafunia mara ngapi? Ilikupa kile unachokitaka?
Au ulizicheza show zote kiigizaji?
 
Back
Top Bottom