Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,010
- 7,360
Mkuu mimi nakwambia ukweli hakuna kuweweseka inakuwaje matukio yako uyapange yatimie yote ndani ya siku 3 uliwaza nini.....Mkuu nakuona tu unavyoweweseka
Kwanza ulitumia ID yako ya Priscilla, kujitambulisha wewe muathirika ulivyomaliza ukaenda kwenye ID yako ya pili ambayo ndio kongwe ya Cute love kuelezea wanaume wa humu hawapendi tumia kinga tukasema sawa.....
Ukatumia ya chizi maarifa kutisha kuwa unamjua ulietembea nae maana utamuua tukawa tunafuatilia kwa ukaribu, leo umekuja na ID yako sasa kutupa taarifa kuwa member mwenzetu amefariki...
What a coincidence matukio yote hayo yatokee karibu yako ndani ya siku 3....uwe unatumia akili ya kutulia mkuu na sio vizuri kuwashtua watu humu kuna wengine wanapresha utawaua kisa kiki za ajabu