Siku ya UKIMWI duniani na taharuki kwa WanaJF

Siku ya UKIMWI duniani na taharuki kwa WanaJF

Kisukari kikuanzia utakatwa kiungo kimoja kimoja hadi uishe.
Hatari sana, ila ni rahisi kidogo kupokea riport ya kuwa na kisukari kuliko UkIMWI mkuu, hiyo kitu inatisha ujue si mchezo.
 
Magallah r na kundi la ID feki ndio anawapeleka kasi.... Mods wakiamua kuunganisha ID basi Magallah r, cute love, Priscilla na chizi maarifa wote watakutwa ni ID moja
Hii ni kampeni maalum ya kuwa amsha vijana wasijisahau.
Hakika waliobuni hii kampeni wamefanikiwa sana.
Nawapa pongezi member uliowataja hapo juu wamefikisha ujumbe vizuri sana.
 
Mwanaidi wa JF ametumika vizuri sana kuwaamsha watu.
Kudos Mwanaidi popote ulipo.
Natamani ningemjua ID yake ni nani.
 
Hii ni kampeni maalum ya kuwa amsha vijana wasijisahau.
Hakika waliobuni hii kampeni wamefanikiwa sana.
Nawapa pongezi member uliowataja hapo juu wamefikisha ujumbe vizuri sana.
Umeona mkuu hii ilikuwa kampeni maalum kabisa, na imewafikia walengwa vizuri sana.
 
Mwanaidi wa JF ametumika vizuri sana kuwaamsha watu.
Kudos Mwanaidi popote ulipo.
Natamani ningemjua ID yake ni nani.
Hahaha main character huyo alikuwa mkuu, kavaa uhusika wa hatari sana.
 
Back
Top Bottom