Siku ya UKIMWI Duniani: Ushuhuda wangu

Huyu mdudu alichukua maisha ya wengi( zaidi innocent souls watoto wanawake Wanaume)
Huu ugonjwa usikie kwa jirani omba sana usiifikie nyumba yako au ukoo wako.

Sijui kwa nini Mungu aliruhusu hili !

Roho zao wengi zipumzike kwa Amani!
Umenikumbusha very touching story ya mdada flani ndugu yetu alikuaga ananipenda sana marafik na alipenda nimsindikize kwenye kaburi la mama Ake
Nilikuja kujua baadae alipo farik kua alikua anaishi na mdudu mwenyez Mungu ampe pumziko la milele ndugu yangu
 
Hivi wewe ushawai kuona mgonjwa alielazwa akiwa na UKIMWI?? Hivi unapata wapi hizo guts??

Siku ukiuopata utarudi kuf7ta hii comment

Tumia condoms, kunywa dawa ohooo
 
Hivi wewe ushawai kuona mgonjwa alielazwa akiwa na UKIMWI?? Hivi unaoata wapi hizo guts??

Siku ukiuoata utarudi kuf7ta hii comment

Tumia condoms, kunywa dawa ohooo
Mwenye masikio na asikie
 

Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani mwaka 2024 yamebebwa na kauli mbiu isemayo “Chagua Njia Tokomeza Ukimwi”.
 
Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani mwaka 2024 yamebebwa na kauli mbiu isemayo “Chagua Njia Tokomeza Ukimwi”.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…