Ukimwi hautishi, wafanyabiashara wakubwa duniani inawezekana wamepandikiza hiyo hali ya kutisha, nafahamu watu wanaishi na hivi virusi kwa miaka mingi, hakuna tishio lolote. Ni tatizo la saikolojia zaidi kuliko uhalisia. Na Sababu kubwa ya kuogopwa kuliko corona ni umri wake na nguvu iliyotumika kutengeneza hofu ili kuuza condom na biashara ya Arv.
Kansa ndo inawezekana kuwa ni ugonjwa tishio zaidi lakini huambiwi sababu utaacha kutumia vyakula vya viwandani na biashara itapotea. Kila kitu kwenye hii dunia ni biashara.
Narudia, naamini UKIMWI SI TISHIO ni ugonjwa ulioanzishwa kibiashara zaidi na sasa unaoelekea tamati, sidhani kama kuna miaka 20-30 mbele bila kuutokomeza. NAKUBALIANA NA WW KUHUSU NGONO, NI KINYUME CHA MAPENZI YA MUNGU.