Siku ya Wanawake Duniani isitumike kutengua maandiko ya vitabu vitakatifu

Basi siku zote ujuwe Mwanaume atabaki kua kichwa Cha Nyumba hata Kama haendi sokoni!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kichwa cha nyumba kwenye familia yako siyo kwenye jamii au uongozi tena mkeo ndio uliyeambiwa utamtawala ukija kwenye jamii ukikuta mwanamke yuko juu yako unanyenyekea kwa supervisor wako.
 
Kichwa cha nyumba kwenye familia yako siyo kwenye jamii au uongozi tena mkeo ndio uliyeambiwa utamtawala ukija kwenye jamii ukikuta mwanamke yuko juu yako unanyenyekea kwa supervisor wako.
Naona unachanganya Madesa, Office na Nyumba wapi na wapi!?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Purpose yako wewe si kuzaa na kulea watoto na mmeo hapa duniani. Kaa pembeni waache wenzako wapambane kusaidia ulimwengu kma wanaume wanavyofanya. Wewe nenda kapike uache wenzako wapambanie haki zao.

Yaani nyie watu huwa mnanifurahisha sana. Mnapenda kukimbilia kusema mabeberu wanaleta haya mambo kutucontrol na kutogombanisha na ku cite vitabu vya dini ambavyo mabeberu hao hao ndio waliwaletea enzi za ukoloni. Very stupid.

Mm namsupport mama yangu mzazi. Anapiga zote zote. Analea familia yake kifasaha kwa kutafuta hela na kutunza watoto wake inavyostahili.

Wewe kma unatetereka kwa kuona wanawake wanapambania nafasi sawa na wanaume basi jitafakari. Msipende kujiona Mungu mbele ya wake zenu
 
Shetani ni mwehu sana, ktk siku 360 mwanamke kakubali yake ni siku moja anyway wacha nieshimu mamuzi yao kwani mawazo ya mwanamke mabaya tangu bustani ya Eden
 
Yaani wanaume wahakikishe wake zao hawawazidi kwa kipato. Yaani usiwadanganye.
 
Tatizo hawa wanawake wa 50/50 wana define vibaya superwoman. Kwetu sisi wanaume tunaojitambua superwoman ni mwanamke ambaye ni mama bora kwa wanawe,pia ni mke bora kwa mkewe hata jamii inamtegemea kama mfano kimaadili,sio hawa wanaodhanikuvaa suruari ndo usupewoman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…