Siku ya Wanawake Duniani isitumike kutengua maandiko ya vitabu vitakatifu

Vitabu vimetungwa na binadamu tena mwanaume, ndio maana akamfanya mwanamke kuwa chini yake, sasa unataka maelezo gani !!!
Thibitisha hilo, kwa kujikita katika vitabu vya Qur'aan na Hadithi za Mtume. Usiandike ilimradi unaandika, kwani kuandika kila mtu akiamua anaandika analotaka shida huanza hapa tunapotaka ithibati na ukweli wa unayo yaandika. Fanya hili usikimbie.
 
naunga mkono hoja kwa mleta mada.hii phylosoph ya 50/50 ni phylosoph ya satan,ililenga kila mtu ajitawale anavyotaka bila kuingiliwa,ndi maana siku hizi Mambo yako hovyohovyo ,kila mahari wanawake wanadai 50/50,Hadi tendo la ndoa namna ya kulienzi wanataka 50/50.hii 50/50 imeharibu ndoa nyingi za wanawake wapumbavu. Kama neno la Mungu lisemavyo mwanamke mjinga huivunja nyumba yake mwenyewe.
 
Thibitisha hilo, kwa kujikita katika vitabu vya Qur'aan na Hadithi za Mtume. Usiandike ilimradi unaandika, kwani kuandika kila mtu akiamua anaandika analotaka shida huanza hapa tunapotaka ithibati na ukweli wa unayo yaandika. Fanya hili usikimbie.
Huyo mtume ndio aliosema wanaume ni viongozi wa wanawake, unafikiri yeye huyo mtume angekuwa mwanamke angeandika hayo maneno !!! amka wewe narudia watunzi wa vitabu ni wanaume na waliandika kuvutia kwao kuwakandamiza wanawake
 
wanaume inabidi na sisi tupaze sauti,utungwe sheria,mahari iwe ni 50/50.
 
Boko Haram,imeleta Haram kwenye ndoa nyinyi.nyingi zinapumulia ventilator.
 
Huyo mtume ndio aliosema wanaume ni viongozi wa wanawake, unafikiri yeye huyo mtume angekuwa mwanamke angeandika hayo maneno !!! amka wewe narudia watunzi wa vitabu ni wanaume na waliandika kuvutia kwao kuwakandamiza wanawake
Najua tu kwamba hili huliwezi zaidi ya kuweka dhana, sasa nakuuliza swali tuthibitishie ya kuwa kama angekuwa Mwanamke asingeyasema haya.

Sababu huna hoja zaidi ya viroja na utoto mwingi, nanukuu hadithi ya Mtume, na wewe tupe marejeo yako.

Mtu alikuja kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu alayhi wa salam) na akasema,

"Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu! Nani miongoni wa watu wote anastahiki uhusiano wangu wa karibu?" Mtume akajibu. "Mama yako"

Yule mtu akauliza tena, "kisha nani?" Mtume akamjibu

"Mama yako"

Yule mtu akauliza tena, "kisha nani?" Mtume akamjibu.

"Baba yako"

(Mwisho wa kunukuu)

Lakini Allah akasema haya :
"Na katika Ishara Zake ni kuwa Amekuumbieni wake zenu kutokana na nafsi zenu ili mpate utulivu kwao. Naye Amejaalia mapenzi na huruma baina yenu. Hakika katika haya bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanaofikiri. "[Suuratur-Ruum 30:21].

Kama utakuwa ni mtu wa kutafakari mambo, huu ujinga wako huwezi kuuandika, na Allah anatutaka tufikiri.

Wanaume ni viongozi wa wanawake hii kauli aliitoa mtume, unaangaika sana lakini ukweli ni kuwa mtume alitoa kauli hiyo kwa kuwa ni mwanaume , angekuwa ni mwanamke asingethubutu kuandika maneno hayo, hili liko wazi kauli hizi ndio adui wa mwanamke, ila zinakwenda ukingoni wamama wameamka
 
Unajifanya hamnazo siyo ? Jibu hoja mezani, unaruka ruka sasa nani amekataa kama Mtume amesema ?

Hoja ni kuwa ututhibiyishie ya kuwa kama angekuwa Mwanamke jambo lingekuwa kinyume.

Kadhalika ututhibitishie ya kuwa vitabu hivyo vimetungwa na binadamu.

Nikakuonyesha ya kuwa Mtume huyo huyo aliyesema ya kuwa sisi Wanaume ni wasimamizi wa Wanawake ndiyo aliyesema ya kuwa tunmfanyie wema mama mara tatu zaidi ya baba, kadhalika akasema ya kuwa anamdhaminia Pepo yule ambaye atahakikisha wadhaifu wawili wanapata haki zao (Au kama alivyosema Mtume).

Najua hayo huyawezi unaruka ruka tu.
 
Endelea kujitoa akili , Mtume kasema wanaume ndio viongozi wa wanawake wakati huo yeye ni mwanaume , sasa unataka uthibitisho gani tena kama sio kujitoa akili!!! nakwambia huyo mtume angekuwa mwanamke asingethubutu kuongea hizo kauli maana alichofanya ni kuvutia kwake, halafu Vitabu hivyo hivyo vinasema kwenye kutoa USHAHIDI mwanaume mmoja ni sawa na wanawake wawili huu ni udhalilishaji kwa mwanamke, kwasababu wanaume vilaza kibao vip wawe sawa na wanawake wawili, wewe endelea kujifanya hamnazo
 
UWABATA tumekubaliana kukuchongea boonge la sanamu na kuliweka Pale next na Nyerere Square
 
Kudos,
Agiza kinywaji baridiiii nitalipa.
Umenena vizuri kwa wenye akili zao tu.
 
Endelea kujitoa akili , Mtume kasema wanaume ndio viongozi wa wanawake wakati huo yeye ni mwanaume , sasa unataka uthibitisho gani tena kama sio kujitoa akili!!! nakwambia huyo mtume angekuwa mwanamke asingethubutu kuongea hizo kauli maana alichofanya ni kuvutia kwake, halafu Vitabu hivyo hivyo vinasema kwenye kutoa USHAHIDI mwanaume mmoja ni sawa na wanawake wawili huu ni udhalilishaji kwa mwanamke, kwasababu wanaume vilaza kibao vip wawe sawa na wanawake wawili, wewe endelea kujifanya hamnazo
Ukiwa mjinga unajisahaulisha sana, nimeandika Kiswahili chepesi sana, ya kuwa thibitisha ya kuwa kama angekuwa Mwanamke asingesema haya, unaruka ruka.

Pili, nimekuonyesha ya kuwa Mtume huyo huyo ambaye ameyasema hayo na Allah kusema ya kuwa ushahidi wa Mwanaume mmoja ni sawa na wa Wanawake wawili huko si kudhalilisha.

Tatu, kadhalika wapo watu katika wanaume shahidi zao hazikubaliwi, labda nikuulize swali Mwanaume kilaza unampimaje na Mwanamke mwerevu unampimaje yaani mwenye akili ?

Angalizo : Tukiwa tunajadili mambo ya kielimu, jenga hoja na ithibati, usilete utoto.
 
1. Wewe endelea kuweweseka tu, ushahidi kuwa vitabu muandishi ni mwanamume nimekupa kuwa mtume amesema mwanaume ndio kiongozi wa mwanamke, pili mwanaume mmoja ni sawa na.wanawake wawili, huo ndio ushahidi unataka nini tena kama sio kuchanganyikiwa, leta ANDIKO linalosema mwanamke ni kiongozi wa mwanaume ilo litathibitisha kuwa waandishi sio wanaume kinyume cha hapo utapata tabu maana hauna utetezi

2. Mwanaume mmoja ni sawa na wanawake wawili, huu ni udhalilishaji wawazi kabisa, kuna wanawake wanauwezo kuliko wanaume wengi sana sana, iwe kifedha au kiakili au kimali, huko ni kumdhoofisha mwanamama

3.acha kurukaruka, hao wanaume ambao ushahidi wao haukubali maana yake hawana vigezo, lakini ikitokea vigezo vimefikiwa vya kua SHAHIDI hakika mwanaume mmoja ni sawa na wanawake wawili suka au nyoa hizi ni kauli mbaya za udhalilishaji , wote vigezo wanavyo kwanini huyu awe sawa na.wanawake wawili? usikimbie kimbie hapa
 
Kazi yangu nimemaliza.
 
Kila kitu kitaa mahali pake kila mtu akisimama sehemu yake, hakuna hata haja ya kulia kulia, mwanamke atabaki kuwa mwanamke na mwanaume atabaki kuwa mwanaume mambo ya kutii na mwingine kupenda na kuwa kichwa cha familia ni misingi ya mtu akiamua kufata hiyo misingi mfano kuoa mke utayekuwa kichwa kwake hapo utii ni lazima sasa mtu hujipangi wala kufata misingi ya kuwa kichwa unaoa ukiwa unawaza usawa wa kuwasaidiwa majukumu yako hapo utii utautafuta kwenye tochi Ili mambo ya kusaidiwa yaende sawa inabidi uwe mpole Ili 50 /50 ifanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom