Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
Waefeso 5:22-24 Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo na wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.Mkuu siyo hivyo!
Tunataka wanawke wenye heshima, nidhamu na unyenyekevu, na ndio biblia inachotaka.
Kwenye biblia Mwanamke jukumu lake kwa mwanume ni KUTII basi,! Na mwanaume nae jukumu lake ni kumpenda basi!
Kama kila mmoja akisimama kwenye nafasi yake katika hayo maneno mawili hakuna ndoa itavunjika.
Sawa kidabaga ntaenda ila dada zako hawa wa mjini waambie kabisa wataishia kuwa wasafisha marungu tu.
Kolosai 3:18 Ninyi wake, watiini waume zenu, kama ipendezavyo katika Bwana.
1 Petro 3:1-2 Kadhalika ninyi wake, watiini waume zenu; kusudi, ikiwa wako wasioliamini Neno, wavutwe kwa mwenendo wa wake zao, pasipo lile Neno