Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Ni suala la muda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahaaa....muone...nadhan kuna womens day na siku ya mamaHivi siku ya wanawake huwa ni mara ngapi kwa mwaka maana mara kwa mara nasikia women's day!!
Ndauli be!Afu ww mhehe wewe
Hahaha ona sasa kwa hivyo kuna ya mama na ya wanawake! Leo kuna mtu alinitumia msg ya "Happy women's day" nikajiuliza hii kitu huwa ni mara ngapi kwa mwaka huh!Ahahahahaaa....muone...nadhan kuna womens day na siku ya mama
Hamjatujulia tu..ukiona mwanamke ameanza kukupangia mashart kuna kitu unamkwazaNdauli be!
Kiukweli mwanamke kama yule unawezaje kukaa nae ndani kwa mfano? Kupika tu na kufua atataka mpangiane zamu!
Vyanamke kama hata tendo vinatoa vikijisikia tena kwa masharti.
Asante mama yetu chukua soda takuja kulipa🚶🚶Kuna hii kitu yetu inaitwa siku ya wanawake, kuna hii kitu inaitwa super woman na kuna hii kitu tumeanzisha inasema mwanamke ni kichwa cha familia.
Wanawake kuna sehemu tumetumbukizwa shimoni na wapigania haki za wanawake na bila kujijua tumejaa viburi na sasa tunajitokeza adharani kudai sisi kwa asilimia kubwa ndio tunalisha familia.
Wanawake wengi wenye mentality kwamba wanalisha familia ndoa zao zimeyumba na watoto wapo taabani kimalezi kwa sababu tu walezi wamepishana.
Dini zipo na zinaeleza vyema lipi jukumu la mwanamke ila kwa kasi tuliyonayo imetufanya twende kinyume kabisa na maandiko, tukipata nguvu kidogo tu ya uteuzi au kupata kamtaji kwetu tayari ni agenda yakuwaumiza wanaume. Wanaume wakituchoka wakaondoka hapo ndipo tunajua sisi kamwe hatuwezi kuwa kichwa cha familia.
Tukubali tukatae tunapaswa kuishi na wanaume kama vichwa vya familia na sisi ni mkia. Tukijitutumua na hadithi za super woman tutaishia kutumiwa na makundi ya wanaume huku tukiwa tunakwama kwenye malezi. Tuwaheshimu waume zetu regardless ya vyeo vyetu na madaraka au fedha zetu.
I'm not thinking of superwoman rather gifted woman.
Kula bonge la "LIKE"Kuna hii kitu yetu inaitwa siku ya wanawake, kuna hii kitu inaitwa super woman na kuna hii kitu tumeanzisha inasema mwanamke ni kichwa cha familia.
Wanawake kuna sehemu tumetumbukizwa shimoni na wapigania haki za wanawake na bila kujijua tumejaa viburi na sasa tunajitokeza adharani kudai sisi kwa asilimia kubwa ndio tunalisha familia.
Wanawake wengi wenye mentality kwamba wanalisha familia ndoa zao zimeyumba na watoto wapo taabani kimalezi kwa sababu tu walezi wamepishana.
Dini zipo na zinaeleza vyema lipi jukumu la mwanamke ila kwa kasi tuliyonayo imetufanya twende kinyume kabisa na maandiko, tukipata nguvu kidogo tu ya uteuzi au kupata kamtaji kwetu tayari ni agenda yakuwaumiza wanaume. Wanaume wakituchoka wakaondoka hapo ndipo tunajua sisi kamwe hatuwezi kuwa kichwa cha familia.
Tukubali tukatae tunapaswa kuishi na wanaume kama vichwa vya familia na sisi ni mkia. Tukijitutumua na hadithi za super woman tutaishia kutumiwa na makundi ya wanaume huku tukiwa tunakwama kwenye malezi. Tuwaheshimu waume zetu regardless ya vyeo vyetu na madaraka au fedha zetu.
I'm not thinking of superwoman rather gifted woman.
Mimi natamani ziwepo tu hata 3...tucelebrateHahaha ona sasa kwa hivyo kuna ya mama na ya wanawake! Leo kuna mtu alinitumia msg ya "Happy women's day" nikajiuliza hii kitu huwa ni mara ngapi kwa mwaka huh!
U are very smart. Ningekuwa magu kesho wewe ndio waziri wa ustawi wa jamii, maendeleo, wanawake na watoto.MWANZO 3: 16 Akamwambia mwanamke hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako, kwa utungu utazaa watoto na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, NAYE ATAKUTAWALA.
Wa kulaumiwa siyo wanawake bali viongozi wa dini. Hawa wamekuwa wakifumbia macho maandiko. Wanahubiri kupata watoto, kuwa na maisha mazuri na miujiza mbalimbali, lakini hawataki kuwaambia wanawake maandiko yanataka waishije katika ndoa.
Serikali nayo imekazana kupiga vita mfumo dume wakati mfumo dume ndiyo utawala wa mbinguni. Mbona Yesu hakuchagua mwanamke hata mmoja kuwa mtume katika wale 12, akaona bora Yuda atakayemsaliti. Na ndiyo maana mbinguni HAKUNA MALAIKA MWANAMKE.
Kinachotakiwa kupigwa vita siyo MFUMO DUME bali ni UKATILI WA KIJINSIA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah we jamaa katili. Eti wife beating day. Kwamba hiyo siku ni kutembeza kichapo tu hata kama mke hajakukosea...Ianzishwe siku ya Wife beating day ili nasisi wanaume tujinafasi na kupunguza stress zetu
We unalaana sio bure..... Na uzao wako utalaaniwa endelea na hii mizaha yako utadhani MUNGU ni mjomba wako.Ndio ivyo tunavyovisema kuwa vimemrudisha sana nyuma mwanamke, sasa ni wakati wa kuvipuuza
Hapana, anataka afanye anavyotaka yeye!Hamjatujulia tu..ukiona mwanamke ameanza kukupangia mashart kuna kitu unamkwaza
Hapana, anataka afanye anavyotaka yeye!
Kiufupi wanawake wa aina ile hawataki kuwa chini ya mtu, yani anataka awe huru kujiamulia mambo yake mwenyewe ikiwezekana akitaka kesho kwenda kulala kwa john muache aende maana ni haki yake!
Hafanyi majukumu ya kimama kama kufua, kupika, usafi wa nyumba nk yote hayo usipoleta mschana wa kazi nyumba inageuka jalala, yeye kazi yake kutwa ni kuingia mitandaoni na kujifanya mwanaharakati basi!
Ndio sababu unaona siku hizi wadada wasomi wengi hawaolewi maana hakuna mwanaume anaweza kuoa kisha ndani wote muwe na ndevu.
Huo kuwa juu ya Mwanaume,Usuper Woman,sijui kichwa cha familia na upuuzi mwingine unaofanana na huo utaufanya ukiwa kwa Baba yako Mzazi.Vitabu vimemfanya mwanamke kuwa chini ya mwanaume, sasa kuna ulazima mwanamke nae apambanie haki yake, kuna wanawake wengi wenye akili na maarifa kuliko wanaume wengi, wanayo haki ya kuwa juu ya wanaume kama wamewazidi akili na maarifa
Hapana hawaoi. Wanalipa ili kumpa mwanamke heshima na utu wake katika ndoa yake asionekane kama aliuzwa au alilipiwa pesa.Mbona INDIA wanawake wanaoa wanaume, haya mambo yanawezekana
Mara nyingine wanatutia uchungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah we jamaa katili. Eti wife beating day. Kwamba hiyo siku ni kutembeza kichapo tu hata kama mke hajakukosea...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siyo hivyo!Narudia tena..ukiona hvyo basi liko tatizo...naona unataka wanawake wa kukunyekea..kukupraise...kukuona bila ww wao si lolote nenda kwenye kidabaga utawapata