Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?

Mkuu wakumwamasaga, that was then, vipi sasa?.
P
 
Reactions: SMU
That was then, now the game has changed!.
P
 
The Game has Changed Automatically 🔥
 
Mkuu FaizaFoxy, naunga mkono hoja
P
 
Unasema?
 
Sasa nchi ndo inaongozwa na mwanamke.
Unaswmaje sasa
 
Mkuu jme , vipi sasa?.
P
Pascal, Mama kashika nchi kwa incident ya KIFO cha Boss wake kwa kuzingatia matakwa ya kikatiba (asingeshika PM). Ila kwa utaratibu wa kawaida wa uchaguzi, CCM hawawezi kuthubutu kumpa 'Mama' agombee (bado tuna jamii isiyo amini katika uwezo wa mwanamke).

President by INCIDENT.
 
Samia kasha kuwa Raisi tayari
 
Ccm ikipitisha mgombea hata kichaa atashinda sembuse mwanamke Africa uchaguzi huwa ni kiini macho acheni ku undermine wanawake
 
Ccm ikipitisha mgombea hata kichaa atashinda sembuse mwanamke Africa uchaguzi huwa ni kiini macho acheni ku undermine wanawake
Kabisa.

Tena mwanamke anauwezo mkubwa mno sema mfumo "umembrainwash" na si kwamba hawezi.
 
Kabisa.

Tena mwanamke anauwezo mkubwa mno sema mfumo "umembrainwash" na si kwamba hawezi.
Ni Imani potofu iliyojengeka kwa wanaume wa Africa nchi zote zinazoongozwa na wanawake zinafanya vizuri mfano ni ugerman yenye uchumi mkubwa
 

Ashakua sasa
 
Sasa hamishia majeshi kwa mama,unaweza pata kanafasi maana kwa marehemu uligonga mwamba
Karibu pande hizi, ila kwanza angalia tarehe za bandiko.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…