Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?

Leo nazidurufu baadhi ya "kauli umba", ni zile kauli za kusema jambo ambalo halipo, lakini baada ya jambo hilo kusemwa, kauli hiyo inaliumba hilo jambo linakuja kutokea kweli.

P
 
Tanzania ilipata VP, mwanamke kwa mara ya kwanza, baada ya uchaguzi wa 2015, kuna wengi wanadhani ilijitokea tuu, Tanzania kuwa na VP mwanamke!, hawajui kuwa huo u VP wa mwanamke, kuna watu wenye kauli zenye powers za kuumba, walitoa kauli za kutaka tupate VP mwanamke, toka Machi 8, 2015!.

P
 
Huyu Jamaa ana uchu wa Madaraka
Nimehudumu kwenye media kwa miaka 30, niliwahi gombea nafasi yoyote ya uongozi hadi useme nina uchu?
kajipendekeza kwa Magufuli mpaka Kafa
Kwenye kipindi cha JPM, niliwahi gombea chochote?.
Kaanza kwa Mama bado hali ni tete
Wengi wenu mmemfahamu Mama Samia, baada ya kuwa Rais wa JMT, angalia tarehe ya bandiko hili ni la lini na nilizungumza nini kumhusu Samia!, Jee nilikuwa najipendekeza kwa Samia tangu 2015?.
P
 

Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

Paskali.
Tunapoelekea kuadhimisha siku ya wanawake duniani, tunaendelea kuwasisitiza wanawake wenye uwezo wa uongozi wa kisiasa, jitokezeni mgombee msisubiri viti maalum!.
Hongera sana wanawake wote duniani.
P
 
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.
P.
 
Another lady to sit the chair Naaah!! Big NOO tushaona ya kuona enough is enough wako pale kama pambo tu.
Mkuu Mazigazi , huku ni kuwatukana akiwemo aliyepo!. Hoja hii ni ya 8 years ago, walikuwepo wenye uwezo na bado wapo akiwemo Dr. TAM
That job since the beginning disgned for men,
Huu ni ubaguzi!. Hakuna kazi za kiume na kike!.
Women for showcasing tu not their suitable position msije sema Nina stereotypes hapana huo ndio uhalisia.
This is typically stereotype!.
Madam speaker noo big NOO!!
Kwa hesabu zangu, at the moment, she is the one and only woman anayeweza kuwa mgombea wa kwanza wa urais mwanamke kupitia CCM, and that is uchaguzi wa 2030, only if sauti hii ni ya kwake YEYE Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
hivyo kitendo cha wewe kusema "Madam speaker noo big NOO!!", kinanikata maini!.
P
 
Japo swali hili ni la zamani, lakini still liko valid, kusinge tokea lile tukio, asingekuwa!. Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi Mkuu, natoa wito, wanawake wote wenye uwezo, jitokezeni kwa wingi kuonyesha uwezo wenu kwa kugombea, nawahakikishia, Watanzania tutawachagua!.

Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku yao ya wanawake duniani hapo kesho.
Paskali
 
Rais msagaji? Big no. Tuwe serious na haya mambo. Maisha ya Halima Mdee siyo kitu cha kuigwa na kizazi kijacho
 
Rais msagaji? Big no. Tuwe serious na haya mambo. Maisha ya Halima Mdee siyo kitu cha kuigwa na kizazi kijacho
Mkuu Stuxnet, hoja yako hii ni kosa la kitu kinachoitwa unnecessary invasion of the right to privacy ya mtu, kwa kuleta dhana hasi dhanifu.

Kwenye presidential material tunaangalia uwezo wa mtu kuwa rais wa JMT na sio tabia zake binafsi kwa kuingilia privacy yake!.
P
 
Kwa Ulaya sawa, lakini kwa Utamaduni wa Afrika nakuhakikishia Haiwezekani mtu mwenye maadili ya LGBTQ awe kiongozi mkuu hadi kuwa Rais.
 
Kwa Ulaya sawa, lakini kwa Utamaduni wa Afrika nakuhakikishia Haiwezekani mtu mwenye maadili ya LGBTQ awe kiongozi mkuu hadi kuwa Rais.
Kuna kitu nakijua kuhusu hili, naomba nikuhakikishie sio kwa ulaya tuu, hata Tanzania watu hao wapo na tunawajua ila hatuwataji ili tusiingilie rights zao za privacy, there is nothing impossible under the sun.
P,
 

  1. Maza uwezo ni mdogo sn
    It's not true, anauwezo mkubwa sana na ameisha prove kwa maneno na matendo.
    P
 
Wapo sema mifumo iliyopo ni ya upendeleo.
Kwamba hadi uwe mtu wa kujipendekeza na kuwa chawa.
Uwe tayari kujitoa hata utu wako ?!

Know who badala ya know how
 
Wanabodi, hili ni bandiko la 2015, 9 years back, watu tuliuzungumzia urais wa Samia 2025 na tulisema kitu ambacho ni cha kweli na huo ndio ukweli wenyewe.
P
 
Leo ni siku ya wanawake duniani, hizi ni salaam zangu za siku hii, Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake Acheni Kubwetekea Kubebwa. Viti Maalumu ni Kubebwa, Je Tuvifute. Wanawake Mjibebe?, Au Mnapenda Uroda wa Kubebwa?.

Nawatakia wanawake wote wa TiZii
Heri ya siku ya Wanawake Duniani.

Tena, by the way, naombeni mnipe pole, tumempoteza mmoja wa wanawake muhimu sana kwenye maisha yangu, tumempoteza mama mzaa Chema wangu, ameitwa kwa Muumba wake, akiwa Babati, tunampumzisha kwenye makao yake ya milele siku ya Jumatatu katika kijiji cha Gendi kwenye malalo ya ukoo wao.

View: https://youtu.be/oezcYCl60OI?si=MI6vvCGOptf82N8b
RIP Mama MKwe wangu.

Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…