Ndio namjua binam yangu kabisaUnamjua kwani...
Wanawake wa JF tunawapenda na kuwaheshimu sana,japo single mothers mara nyingine huwa mnakuwa na hasira sana lkn ki ukweli tunawapenda sana.Furahieni siku yenu hii muhimu nyie masuper woman Nifah (mama la mama aka cheupe ) Sky Eclat (bebii) Shunie (mtoto pajapaja ) Heaven on Earth Heaven Sent miss charming miss chagga Miss Natafuta @lala1 FaizaFoxy (gwiji la lugha) Evelyn Salt ukhuty geniveros Ms.Lincoln cocochanel (mama bashite) MangeKimambi (dada yake bashite) princess ariana Mrs Van Honey Faith miss_blossom lin binti kiziwi moniccca mahondaw na wengine wengi ,si mnajua mko karibia laki hapa JF,
asanteni sana we love you too oue dear sponsorsHeri ya kuzaliwa handy women wote ukianza na maza (rip)jje's shemeji yangu
espy
Shunie
LadyAJ
Sakayo
faiza Foxy
La mujar
Lyn Vivac
husna muba
Valentina
Patience123
Senee
Honey Faith
geniveros
joanah
Sky Eclat
Miss Natafuta
miss_blossom
ahaahaaa love you too mr cu!Heshima kwa mama wote na ambao ni mama watalajiwa pia heshima kwema....."Nan kama mama"......ya Bella iwe maharumu kwa witnessj, miss chagga, mama mkubwa....na miss natafuta (bado hajampata faru John)
Ebu katajeNdio namjua binam yangu kabisa
Kumbe watu MNA mashemeji humuNdio namjua binam yangu kabisa
Ohoooooo mapemaaaaaaaa!!!Kumbe watu MNA mashemeji humu
Umbo no 8 sura ya kitusi kazuri sana mwenyewe unakapataEbu kataje
Haha basi ngoja nieditUmbo no 8 sura ya kitusi kazuri sana mwenyewe unakapata
Shukurani sana MondrayNAKUPENDA sana Joanah
Duuh hongera siku ya kuchukuana msisahau kutupa kadiOhoooooo mapemaaaaaaaa!!!
Thank you Daby love [emoji177]Heri ya siku ya wanawake handy women wote ukianza na maza (rip)
jje's shemeji yangu
espy
Shunie
LadyAJ
Sakayo
faiza Foxy
La mujar
Lyn Vivac
husna muba
Valentina
Patience123
Senee
Honey Faith
geniveros
joanah
Sky Eclat
Miss Natafuta
miss_blossom
Kasinde
Mulhat Mpunga
CHIKIRA MTABARI huyu juka nimempokea form one.
Paprika
King'asti
Nawapenda kiasi cha kuwasahu hadi majina ambao sijawataja.
Muache halafu kanakuzimia kinyama, ukakule tu mkuuHaha basi ngoja niedit
Watu wenye mikosi yetu hatuna mabinti warembo tunawaita shemejiDuuh hongera siku ya kuchukuana msisahau kutupa kadi
Gracious toto mzuriThank you Daby love [emoji177]
Hilo neno la mwisho hilo nataman lingekua mubasharaShukurani sana Mondray
Nakupenda sana pia
Mi bado bikraa mama alinikataza kufanya matusi0
Muache halafu kanakuzimia kinyama, ukakule tu mkuu