Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

Wanawake wa JF tunawapenda na kuwaheshimu sana,japo single mothers mara nyingine huwa mnakuwa na hasira sana lkn ki ukweli tunawapenda sana.Furahieni siku yenu hii muhimu nyie masuper woman Nifah (mama la mama aka cheupe ) Sky Eclat (bebii) Shunie (mtoto pajapaja ) Heaven on Earth Heaven Sent miss charming miss chagga Miss Natafuta @lala1 FaizaFoxy (gwiji la lugha) Evelyn Salt ukhuty geniveros Ms.Lincoln cocochanel (mama bashite) MangeKimambi (dada yake bashite) princess ariana Mrs Van Honey Faith miss_blossom lin binti kiziwi moniccca mahondaw na wengine wengi ,si mnajua mko karibia laki hapa JF,
asanteni sana we love you too oue dear sponsors
 
Heshima kwa mama wote na ambao ni mama watalajiwa pia heshima kwema....."Nan kama mama"......ya Bella iwe maharumu kwa witnessj, miss chagga, mama mkubwa....na miss natafuta (bado hajampata faru John)
ahaahaaa love you too mr cu!
 
Nani kama MAMA...![emoji120] Long Live Maam and all Hard working Women, far beyong been praying for all Females who are about to be moms, may the path to HAPPINESS be wide upon your good thoughts an plans...Amen
 
Back
Top Bottom