MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Aiseeπ, ahsante nawe piaπmi nawapenda wanawake wote wa jf japo kuna mda tunanangwa ila hatujawahi kujikatia tamaaπ€,, japo wengine wanasemwa ni magasho cc cocastic π€£ ila bado atakuja ku like na kucheka tu, sisy Saint Anne mwanzoni alikua ananihamasisha kwenye mapishi ya keki ila saivi kapoteaπ Kunae Mawardat yeye amebobea kwenye memeπ€£π€£ na wengineo kina Binti wa zamani na nyuzi zake za kulombana karibu kila sikuπ€¦ββοΈππ
Wakuu,
Leo siku ya wanawake Duniani, taja wanawake unaowakubali sana jukwaani, mimi wangu ni
1. Cute Wife - sasa ntgajiachaje ππ
2. Doctor Mama Amon - si ndo nimesahau ID yako inavyoandikwa, ila nyuzi zako inaonyesha uko smart sanaaaaa. Nakupendaπ (Edited, nimelikumbukaπ)
3. Na wanawake woteeeee JF, msijifiche jamani tuone maandiko yenyu ya nguvu, ukipigwa spana niite tuje tuwachangieπ€£π€£π€£
Na wewe sema wako unaowakubali na useme kwanini, twende kaziππ
Mupenzi wa zamani, asante mwaya βΊ!Bibie Binti wa zamani, nawe nakutakia siku njema ya wanawake.
Kuna mmoja hapo ππ½anapenda kunitukana bila sababu, kama zawadi yangu ya leo, naomba next time ukimshika mtandike masaa 2 mpaka kitundu kiwake moto!1. GENTAMYCINE,
2. aliekatakamba humutuu,
3. Minjingu Jingu.
Hizi βοΈni chuma zangu tatu kali za kike. Sasa nisikie mtu anazichezea.
Yeah, nikimkamata nitamtandika hadi Moshi unaotoka tunduni mwake uanze kufukuta paani mwangu.Kuna mmoja hapo ππ½anapenda kunitukana bila sababu, kama zawadi yangu ya leo, naomba next time ukimshika mtandike masaa 2 mpaka kitundu kiwake moto!
Thank you friendπfinancial services nakupenda mwenzioπ₯°
Asante sana sis...happy women's day to you too!Heri ya siku yetu, nawasherehekea wanawake wote wa JF, hasa wale wanawake wa shoka kama binti kiziwi , Dr. Mariposa , Lamomy , Seran na wengine wengi ambao hawaogopi kujichanganya kwenye nyuzi za kutubagaza na kuwa the voice of reason.
Sister Abigail Happy women's day kwako kipenzi!
Asante sana π€π€
Thanks Enzo akeee π€ π€
Thanks love, nyuzi za kulombana kila siku ni uongo π π.
Ila napenda sana kuwachangamasha humu wasisahau kwamba na sisi wanawake tunastahili pleasure na si lazima tujifiche fiche kwenye raha zetu. HWD win-one replies zako huwa zinanifurahisha sana!
Thanks mdogo wangu π€
Evelyn Salt braza wanakujumuisha vipi hawaπ€
- Mamndenyi.....!!ππ
- Evalyn Salt......!!ππ
Kama Ni Hivyoo..Basi Hii Ya Leo Amfikishie Shemeji....Evelyn Salt braza wanakujumuisha vipi hawaπ€
Ulivojibu hapa nimepata wazo la futariThank you π
Khe si swaumu ya kesho mtaanguka jamaniUlivojibu hapa nimepata wazo la futari
πππππππππ
Leo tunafuturu vinamba
View attachment 3555019