Hahaha mimi pombe wala sio tatizo bwashee , ila sisi wanyabi tunakuaelewa 😁😁 kiufupi hao ndio mademu unao waogopa bwashee🤭 Mtani naona gambe imeanza kupanda kichwani.
Ukiona naogopa ujue nipo kwenye igizo.
Haaaaa huyu familia hana shida na mtu.
Hahaha mimi pombe wala sio tatizo bwashee , ila sisi wanyabi tunakuaelewa 😁😁 kiufupi hao ndio mademu unao waogopa bwashee
Yeah hili nalijua bwashee 😁😁Leo umenipa suprise. Kwamba Mimi kumbe kuna mambo nayaogopa.
MIN -mi ni Mzee mwenzangu pia.
Wala hatuna hasira 😃Hasira yenu naijua😃
Yeah hili nalijua bwashee 😁😁
Hatuogopi wala nini, ameshatuchana chana hatuna hamu nae humu.Hahaha mimi pombe wala sio tatizo bwashee , ila sisi wanyabi tunakuaelewa 😁😁 kiufupi hao ndio mademu unao waogopa bwashee
Sasa binti kiziwi wa 93 dogo mwenzako huyo🤣Kisa nimemtaja binti kiziwi ndio unalia ama
Hatuogopi wala nini, ameshatuchana chana hatuna hamu nae humu.
Anawaogopa huyu😁Hatuogopi wala nini, ameshatuchana chana hatuna hamu nae humu.
Sasa binti kiziwi wa 93 dogo mwenzako huyo🤣
Anawaogopa huyu😁
Kwa sasa yeye ni brother hadi pale itakavyosemekana vinginevyo.😄😄 Kwa hiyo Evelyn Salt ni broo.? Au mnataka niweke picha yake?
Hahaha nyie wadogo zetu , inabidi tujipunguze ili tuendane na nyie🤣🤣93 😆😆 hizi dharau sasa.
Kama tumefika huku bora mods waingilie kati.