Edudue
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 317
- 599
Babu ww umeumia nn???? Mbona hii issue hata haikuhusu kabisaaa??? K yake kaitoa apate kazi ww unamia!!!! Hivi HR angetaka ahongwe pesa kidogo ili ampe ajira bado ungemshauri mumkamatishe kwa TAKUKURU??? maana umesema lengo lako ni kukomesha rushwa. Binafsi sina tatizo kabisaaa na mwanamke anaeamua kutumia papuchi yake binafsi ili apate anachotaka iwe ajira au pesa. Ww ukidakwa na traffic utataka kumpoza hata buku 5 ili asikuandikie faini ya buku 30 utatoa pesa maana unazo dada nae hivyohivyo anaweza toa pesa au papuchi kusolve shida zake