Siku ya Wanawake: Huyu Dada alichonifanyia niliacha kabisa kuwaamini wanawake. Wengi wanapenda kutumika hivi

Siku ya Wanawake: Huyu Dada alichonifanyia niliacha kabisa kuwaamini wanawake. Wengi wanapenda kutumika hivi

Siwezi kumshaa HR,wakati mtendwa yupo tayari na ndio maana naona ndio itakuwa tabia ya ke kumpa HR hata akipandishwa daraja lolote kazini,HR ataendelea kujilia papuchi,huoni kama ni utumwa.

Manake huyu kesho ataingia kwenye ndoa,so siku akipandishwa daraja kwa kutoa papuchi haja muumiza mme wake?

Sikia dada bora ujengwe na tabia nzuri kuliko tabia mbaya kwani siku zote "ukijenga tabia mbaya au nzuri nayo ina kujenga",mwisho wa siku utaona kawaida tu.
Kama unaona natetea ni sawa tu. Ila huyu mwenzetu kaumizwa..na sijui kaumizwa na kitu gani.
Watu wanafanya makosa mengine kutokana na situation waliyonayo..siwezi kumjudge sijui nini amepitia hadi kuamua kufanya yote hayo.
Akija kuolewa akamuumiza mume wake atajua mwenyewe, HR alaumiwe kwa kumla mke mtarajiwa wa mwanaume mwenzake.
 
TNA kugumu sana inaonesha hakuna hela.
1. Angalia viwanja vyao halafu linganisha na WWE
2. Channel zinazoonesha ni chache sana kuliko WWE
Naona hata Code Rhodes (member wa Legacy) naye atarudi muda si mrefu
Curt Angle, Aj Style, Bob Rode, Samoe Joe, Bob Rushley, Drew, MVP, Jeff Hardy, na Matt Hardy wamerudi WWE. Ila Dean Ambrose kiwango kimashuka.
mmh, Cody na Matt si wako AEW tena wameingia majuzi tu hapo

btw, namkubali sana Morrison, nakumbuka nilianza kuangalia Lucha Underground, kwakua tu Morrsison yupo ( alikua anatumia John Mundo )
 
unatatizo naye yaani ulitaka akuabudu sana kisa kazi mpaka ukawa hupokei simu vijana mnakwama wapi??????????

VIJANA tuna mambo mengi subirini ninyi watoto Mkue ndo mtagundua haya mambo.kwa sasa utanilaumu sana maana wewe upo tu kwa wazazi una muda mwingi. na pengine unalaumu kuwa kwa nini sikumla huyu binti? SUBIRI NAWE UKUE DOGO.
 
Rudia kusoma bandiko lako vizuri.
Siku huyo dada anaenda kuonana HR, mlikubaliana mkamchomeshe kwa TAKUKURU ila baada ya dada kufika. Akakupigia simu, hukopokea, akapiga tena na tena haukopea inaonesha mlikuwa na jambo na HR.
Ni sawa una mpenzi halafu jamaa huwa anamsumbua sana mpenzi wako kwahiyo mkapanga mihaadi ya kumshikisha jamaa adabu. Siku ya siku jamaa anampigia simu mpenzi wako na yupo guest ukamruhusu huku yeye akitegemea ww atakuja. Anaingia guest anakutumia meseji au kukupigia haupokei. Unafikiri nini kitatokea?
HAKUNA MKATE MGUMU MBELE YA CHAI
sikukata mawasiliano soma vizuri uelewe. ila nilikuwa si entertainn sana malove love.
 
Code Rhodes mara ya mwisho kumcheki alikuwa TNA lbd kwa sasa. Nina muda sijaangalia TNA
WWE mara ya mwisho kuangalia ilikuwa Royal Rumble ambapo Edge ndiyo aliibuka mshindi.
mmh, Cody na Matt si wako AEW tena wameingia majuzi tu hapo

btw, namkubali sana Morrison, nakumbuka nilianza kuangalia Lucha Underground, kwakua tu Morrsison yupo ( alikua anatumia John Mundo )
 
Code Rhodes mara ya mwisho kumcheki alikuwa TNA lbd kwa sasa. Nina muda sijaangalia TNA
WWE mara ya mwisho kuangalia ilikuwa Royal Rumble ambapo Edge ndiyo aliibuka mshindi.
Cody na Matt wako AEW sasa, All Elite Wrestling , ambayo ilikua founded January 1, 2019
 
Rudia kusoma bandiko lako vizuri.
Siku huyo dada anaenda kuonana HR, mlikubaliana mkamchomeshe kwa TAKUKURU ila baada ya dada kufika. Akakupigia simu, hukopokea, akapiga tena na tena haukopea inaonesha mlikuwa na jambo na HR.
Ni sawa una mpenzi halafu jamaa huwa anamsumbua sana mpenzi wako kwahiyo mkapanga mihaadi ya kumshikisha jamaa adabu. Siku ya siku jamaa anampigia simu mpenzi wako na yupo guest ukamruhusu huku yeye akitegemea ww atakuja. Anaingia guest anakutumia meseji au kukupigia haupokei. Unafikiri nini kitatokea?
HAKUNA MKATE MGUMU MBELE YA CHAI
hujaelewa kabisa. ingawa nimejitahidi kuandika kwa kiswahili chepesi sana cha kuandikia mtoto wa darasa la pili. tuli kwanza. chukua juice au maziwa. kaa nyosha miguu kwenye kiti then soma taratibu utaelewa. au mwambie mtu ambaye anajua kusoma na kuelewa akusaidie.
 
HR keshakula mzigo na demu hataki mawasiliano na ww. Hicho ndicho kinachokuumiza zaidi. Ww ndiyo ulizingua sana. Rudia kusoma bandiko lako upya mstari kwa mstari utaelewa. Baadhi ya watu huandika lkn huwa hawafanyi uhariri. Ngoja nikuache na uzi wako
hujaelewa kabisa. ingawa nimejitahidi kuandika kwa kiswahili chepesi sana cha kuandikia mtoto wa darasa la pili. tuli kwanza. chukua juice au maziwa. kaa nyosha miguu kwenye kiti then soma taratibu utaelewa. au mwambie mtu ambaye anajua kusoma na kuelewa akusaidie.
 
Nimesoma na nimeleewa vizuri

Mtoa mada watu wanakuonea bure, And of course ni tabia ya watu wengi humu JF (kumshambulia OP )

Haingii akilini eti mtu mwanaume um'support demu akaliwe ili apate kazi
(Either umewahi fanya nae or hujawahi )

Kama unajiona una weza hilo bila kusita, Possibly umefikia hatua mbaya sana kimaadili, uchafu wowote unafanya hata porn unaigiza 😅
 
kuniomba nimshauri kumbe alikuwa na maamuzi yake mwenyewe. ndo hapo alinikosea. wewe najua unakitumia ingawa hakijakusaidia. si kwamba kitakusaidia sana... unabaki kama ulivyo mfano kama wewe toka tuanze tumia sisi wana JF umefaidika na nini?

Mkuu haina haja ya kujibizana na huyu dada Demi. Wanawake huwa hawapendani kabisa,usifikiri anamtetea huyo dada. Hapo anafurahi mwenzake kuliwa kwanza akapewa kazi. Huwa hawapendi mwanamke mwenzao kufanikisha kitu kirahisi rahisi. Unaweza kukuta mwanamke anafurahia mwenzake heka heka anazozipata kipindi cha ujauzito bila sababu yeyote. Ukweli utabaki kwamba wewe ulifanya utu kwani ulikuwa na uwezo wa kumla kwanza kabla hajakutana hata na Hr.
 
huyu dada nilimuunganisha na watu wa Kampuni flani kikazi. alikuwa dada mzuri ila sikuwa na mpango naye kabisa. mara nyingi alikuwa anaonesha nia ya kutaka uhusiano. mimi niliona ni kujiongezea shida tu. hana kazi anaishi kwa walezi wake amemaliza chuo , sina mpango naye kimahusiano, sitaki kutumia nafasi aliyo nayo kimapenzi n.k

nlimuunganisha na watu wa kampuni flani toka kwa rafiki yangu mmoja,akaenda kwenye inteview. aliporusi jioni akanambia kuwa inaonekana HR anamtaka kimapenzi. ameomba namba yake na kamwambia ili ampitishe inabidi wakutane kujadiliana mambo flani sehemu tulivu. baadaye jamaa akaanza tuma texts za kuonesha anamtaka kimapenz. yule dada aliponambia nikamwambia tujenge mtego tumkamatishe jamaa Takukuru au Polisi. yule dada akakubali. ilikuwa jumatano na wamepanga waonane Jumamosi. baada ya hapo mi nikakata mawasiliano. akaja nipigia nikawa busy, akanipigia alhamis nikawasiliana naye juu juu tu sikuwa napenda sana ku mu entertain kimahusano na mawasiliano ya ukaribu. akiniita love,sweet na my dear. nakwepa.

jumamosi nikasubiri simu yake. sikusikia. mpaka jumatatu nikamtafuta akawa hapokei tena simu yupo busy sana. mwishowe nikaja fahamu ameshaajiriwa. nikaona manyoya tu.nikajua tayari ashaliwa. wakati mimi nilikuwa nampambania kukomesha tabia ya rushwa ya ngono yeye ndo akaona mimi bwege. yaani nilijisikia vibaya nikikumbuka jinsi nilivyokuwa naponda hiyo tabia na kutaka ikomesha. nlikuwa nimejipanga sana kutaka kumkamatisha jamaa ili tabia hiyo ikome. demu akaniangusha sana. akaonana naye jumamosi wakamalizana na akapewa kazi.

matokeo yake anakuja nitumia msg niachane naye nisimsumbue ameona sina mwelekeo wowote na maisha yake. hataki niendeee kumfuatilia mambo yake ya kazi. basi nikamwambia anisamehe tu namtakia maisha mema. wanawake sometimes hawaeleweki. siku kama hizi muwe pia mnaka na kuelimishana badala ya kukaa kufundishana namna ya kuasi ndoa zenu na kujenga ujeuri.
Viumbe hivi
 
Nimesoma na nimeleewa vizuri

Mtoa mada watu wanakuonea bure, And of course ni tabia ya watu wengi humu JF (kumshambulia OP )

Haingii akilini eti mtu mwanaume um'support demu akaliwe ili apate kazi
(Either umewahi fanya nae or hujawahi )

Kama unajiona una weza hilo bila kusita, Possibly umefikia hatua mbaya sana kimaadili, uchafu wowote unafanya hata porn unaigiza [emoji28]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mkuu haina haja ya kujibizana na huyu dada Demi. Wanawake huwa hawapendani kabisa,usifikiri anamtetea huyo dada. Hapo anafurahi mwenzake kuliwa kwanza akapewa kazi. Huwa hawapendi mwanamke mwenzao kufanikisha kitu kirahisi rahisi. Unaweza kukuta mwanamke anafurahia mwenzake heka heka anazozipata kipindi cha ujauzito bila sababu yeyote. Ukweli utabaki kwamba wewe ulifanya utu kwani ulikuwa na uwezo wa kumla kwanza kabla hajakutana hata na Hr.
Nyie wanaume ndio hampendani. kuna mmoja hapo juu kasema huyo dada ni mke mtarajiwa..jiulize huyo HR anawezaje kumfanyia hivyo mke mtarajiwa wa mwanaume mwenzake?
Nisimpende huyo dada namjua?
Wanaume hamuwapendi wanawake na nyie wenyewe hampendani.
Nikimponda huyo dada ndio nitaonekana nampenda?
 
Kuna komentz nazisoma humu naishia kujisemea tu

Hiiiiiiiiiiii(in his voice)
 
Back
Top Bottom