Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kama unaona natetea ni sawa tu. Ila huyu mwenzetu kaumizwa..na sijui kaumizwa na kitu gani.Siwezi kumshaa HR,wakati mtendwa yupo tayari na ndio maana naona ndio itakuwa tabia ya ke kumpa HR hata akipandishwa daraja lolote kazini,HR ataendelea kujilia papuchi,huoni kama ni utumwa.
Manake huyu kesho ataingia kwenye ndoa,so siku akipandishwa daraja kwa kutoa papuchi haja muumiza mme wake?
Sikia dada bora ujengwe na tabia nzuri kuliko tabia mbaya kwani siku zote "ukijenga tabia mbaya au nzuri nayo ina kujenga",mwisho wa siku utaona kawaida tu.
Watu wanafanya makosa mengine kutokana na situation waliyonayo..siwezi kumjudge sijui nini amepitia hadi kuamua kufanya yote hayo.
Akija kuolewa akamuumiza mume wake atajua mwenyewe, HR alaumiwe kwa kumla mke mtarajiwa wa mwanaume mwenzake.