Mkuu haina haja ya kujibizana na huyu dada Demi. Wanawake huwa hawapendani kabisa,usifikiri anamtetea huyo dada. Hapo anafurahi mwenzake kuliwa kwanza akapewa kazi. Huwa hawapendi mwanamke mwenzao kufanikisha kitu kirahisi rahisi. Unaweza kukuta mwanamke anafurahia mwenzake heka heka anazozipata kipindi cha ujauzito bila sababu yeyote. Ukweli utabaki kwamba wewe ulifanya utu kwani ulikuwa na uwezo wa kumla kwanza kabla hajakutana hata na Hr.