Sina cha kujivuna juu ya watoto wangu, ninavyo tu vya kumshkuru Mungu kwaajili yao.
Maana hayo ninayoweza jivunia wao leo, kesho wanaweza waka change wakawa watu wengine tofauti kabisaaaaaa ukabaki kushangaa.
Kikubwa ni dua tu Mungu azidi kuwalianda na kuwatunza.
I love my kids