Siku yangu imeharibika

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Nilikua nafuatilia series ya Walking Dead imeninogea sasa nimeanza episode ya kwanza ya season 7 hamu imeniisha asee.πŸ˜”

Kifo cha Glenn Rhee kimenihuzunisha mno yaani sitaki tena kuendelea na hii series. Glenn alikua mtu mzuri sana kwa kusaidia wenzie hakupaswa kufa kikatili namna hii.



 
Bora usiendelee maana watakufa kibao tu kina Sasha,yule dogo mtoto wa star afu kizembe kabisa
 
Bora usiendelee maana watakufa kibao tu kina Sasha,yule dogo mtoto wa star afu kizembe kabisa
Carl nae atakufa?? T Doug na Martinez waliniuma kifo chao. Ngoja tu niachane nayo, sipendi kuumia mie
 
Hizi pombe hizi....😴
Yaani I don't even know what are you guys discussing about....πŸ˜ͺ
 
Sigara zipo za aina nyingi sasaaa ok; tufanyeje hali yako irudi kwa namna unavyo hitaji ndugu mwuharibikiwa wa siku ili zisiwe nyingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…