Siku yangu imeharibika

Siku yangu imeharibika

Mkuu vipi inautamu kama wa GOT? nataka nianze nayo na mimi
Haijafika viwango vya GOT ila ni nzuri, haiboi inakufanya uendelee kuona episode zinazofuata! So iangalie inaanza kua nzuri zaud S2 na S3
 
Wanaokubeza bado hawajaangalia movie au series bali wanatazama tu siku ipite coz they have nothing to do, mimi hyo hali ilinikuta kwenye Homeland alivyonyongwa broad.
 
Hii nataifuatilia siku zingine. Acha episodes zitoke kadhaa.
Niseme ukweli wakati naandika huu uzi nilikua nipo S5 nikaenda kwanza Youtube kuangalia kifo chake.
Sasa ukiangalia S6 jinsi Glenn alivyokua anapambana kuokoa wenzake halafu anakufa kikatili hivi asee imeniuma..Shida yangu ni kua mimi nikianagalia series nazama kabisa ndani ya series nakua ka vile wale waigizaji ni sehemu ya maisha yangu hivyo sitaki kuaona wanapatwa na matatizo yoyote.!
Ikitokea wamepata matatizo naumia sana kama kitu kilichotokea maishani mwangu kweki...Nilivutiwa na jinsi wanavyojaliana japo ni watu kutoka sehemu tofauti ila wanajali na kupendana. Wanadamu yatupasa kuishi hivyo kwa upendo.ndio maana nilishindwa kumaliza series ya Pablo escobar (Narcos).

Binafsi mimi nina orodha ya waigizaji/character ambao nawapenda na ninaishi vile walivyokua wanaishi kwenye muvi zao
Huyu mtu nampenda sana naona tunafanana kiasi fulani tabia na muonekano (personality) hata kwenye maisha halisi ndio maana namtumia kwenye Avatar yangu. Napenda sana anavyojitoa kupigania wengine hajali kuhusu yeye ananifanya nipende kua mtu mwema. Kikubwa ni kutokusema uongo no matter what...
Captain America.
Nachompendea siku zote yupo kwenye haki tu hata kama wote watakua kinyume nae ila kama ni jambo sahihi atafanya halafu anaushawishi sana na anakubalika mno.. anaweza kufanya ukafa ajili yake...Napenda anavyotoa speech zake asee ni hatari
Optimus Prime (Transformers)
Napenda yupo kama Captain America, halafu anahamasisha balaa kwa speech zake.
Matt Murdock (Daredevil)
Nashindwa kuelewa napenda character ya daredevil au actor mwenyewe ambae ni Charlie Cox, yaani namkubali sana huyu jamaa alivyo mpole halafu anasimama kwenye hakii Always.. kikubwa yeye hau maadui anaamini kila mtu anahitaji second chance/redemption ya kubadirika na kua mwema.

Then namuomgeza Glenn kwenye hii list, nitaishi kama yeye alivyoshi na wenzie humu. Mungu anisaidie tu!
Ssiku nikipata bahati nikafika USA nishaweka nadhiri lazima nimtafute Charlie Cox na Chris Evans nionane nao kama nikifika UK basi nitamtafuta Kit Harrington..Just nikae nao niwaambie jinsi gani wananiInspire kua mtu mwema🌹🌹 namuomba sana Mungu jambo hili litimie one day.. My favorite Chadwick kashatuacha duniani. Mungu awatunze watu hao..nikipata katoto one day nitakaita Glenn.
 
Back
Top Bottom