Siku yangu imeharibika

Siku yangu imeharibika

Nilikua nafuatilia series ya Walking Dead imeninogea sasa nimeanza episode ya kwanza ya season 7 hamu imeniisha asee.😔
Kifo cha Glenn Rhee kimenihuzunisha mno yaani sitaki tena kuendelea na hii series. Glenn alikua mtu mzuri sana kwa kusaidia wenzie hakupaswa kufa kikatili namna hii.
View attachment 1885477
View attachment 1885478View attachment 1885480View attachment 1885481
Glenn was my favorite character and I wanted him to survive the apocalypse.I stopped watching after 701 because I lost connection with the show ila baadae niliendelea.

Sisi tunatamani characters that we love wasiuliwe/wasife but hiyo ndio inaipa maana show. Hata kwenye maisha ya kawaida haujui ni nani atakufa na ni lini atakufa, yeah?

Niliangalia GoT na kuona wale niliotamani wasiuliwe wanauliwa hadi nikazoea.
 
hata wajukuu wa wanangu hawawezi kuongea huo utoporo
Nyie ni wabinafsi!!!
Mnajiona nyie mnaopenda Beer na Mpira ndio bora zaidi kuliko sie tusiopenda vitu hivyo. My first entertainment ni muvis na muziki, iwe cartoon, iwe lolote nitaangalia no matter what you'll think about me.
Nione nimeandika utoto but I'm Cosy about this
 
Glenn was my favorite character and I wanted him to survive the apocalypse.I stopped watching after 701 because I lost connection with the show ila baadae niliendelea.
Nilimpenda sana Glenn kwa alivyopenda kusaidia wenzie ila kifo chake kimeniuma kama ni ukweli but kama uliendelea kuangalia nami nitaendelea. Nampenda Eugene, very Smart namfananisha na Kawolski wa penguin of madagascar. Hawa wawili kila wanachoongea ni useful and analytical.
Thanks for motivating me Mi corazon PP.
Sisi tunatamani characters that we love wasiuliwe/wasife but hiyo ndio inaipa maana show. Hata kwenye maisha ya kawaida haujui ni nani atakufa na ni lini atakufa, yeah?
Kweli death doesn't come to the wicked and leave the Innocent behind.

Niliangalia GoT na kuona wale niliotamani wasiuliwe wanauliwa hadi nikazoea.
Hali hii niilipata pia kwenye episode ya Rain of Castamere, nilibaki nimeduwaa kabisa. Halafu inasha no soundtrack kimya kimya kama upo msibani kweli. Robb na Talisa waliniuma asee
1628500178889.png

Kuna maneno waliongea hapo hua nayapenda sana. Robb mapenzi yalimpeleka kubaya.
1628500339921.png
 
Dada Vinc nimekushusha thamani aisee.
 
Dada Vinc nimekushusha thamani aisee.
Mimi ni mwanadamu, usitegemee nitakufurahisha all the time. Kukosea na kuudhi wengine & kuwa na madhaifu ndio kunanifanya niwe Mwanadamu mkamilifu.
So try to embrace the worst side of me, maana kila jema lina ubaya ndani yake na baya lina jema ndani yake✌️
 
Mimi ni mwanadamu, usitegemee nitakufurahisha all the time. Kukosea na kuudhi wengine & kuwa na madhaifu ndio kunanifanya niwe Mwanadamu mkamilifu.
So try to embrace the worst side of me, maana kila jema lina ubaya ndani yake na baya lina jema ndani yake[emoji3577]
Movie hii nimeichukia baada ya Rick Grimes kuacha kuigiza, nimestack season ya kumi hapa najivuta kweli kuiangalia
 
Nilikua nafuatilia series ya Walking Dead imeninogea sasa nimeanza episode ya kwanza ya season 7 hamu imeniisha asee.[emoji17]
Kifo cha Glenn Rhee kimenihuzunisha mno yaani sitaki tena kuendelea na hii series. Glenn alikua mtu mzuri sana kwa kusaidia wenzie hakupaswa kufa kikatili namna hii.
View attachment 1885477
View attachment 1885478View attachment 1885480View attachment 1885481
unazidownload site gani wewe introvert utakuwa na mamuvi kibao[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mkuu usijali nipo na gwajima hapa tutafanya mpango tumfufue
 
Nilimpenda sana Glenn kwa alivyopenda kusaidia wenzie ila kifo chake kimeniuma kama ni ukweli but kama uliendelea kuangalia nami nitaendelea. Nampenda Eugene, very Smart namfananisha na Kawolski wa penguin of madagascar. Hawa wawili kila wanachoongea ni useful and analytical.
Thanks for motivating me Mi corazon PP.

Kweli death doesn't come to the wicked and leave the Innocent behind.

Hali hii niilipata pia kwenye episode ya Rain of Castamere, nilibaki nimeduwaa kabisa. Halafu inasha no soundtrack kimya kimya kama upo msibani kweli. Robb na Talisa waliniuma asee
View attachment 1886071
Kuna maneno waliongea hapo hua nayapenda sana. Robb mapenzi yalimpeleka kubaya.
View attachment 1886073
Endelea kuangalia ni nzuri bado Vinci.
 
Back
Top Bottom