Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Glenn was my favorite character and I wanted him to survive the apocalypse.I stopped watching after 701 because I lost connection with the show ila baadae niliendelea.Nilikua nafuatilia series ya Walking Dead imeninogea sasa nimeanza episode ya kwanza ya season 7 hamu imeniisha asee.😔
Kifo cha Glenn Rhee kimenihuzunisha mno yaani sitaki tena kuendelea na hii series. Glenn alikua mtu mzuri sana kwa kusaidia wenzie hakupaswa kufa kikatili namna hii.
View attachment 1885477
View attachment 1885478View attachment 1885480View attachment 1885481
Sisi tunatamani characters that we love wasiuliwe/wasife but hiyo ndio inaipa maana show. Hata kwenye maisha ya kawaida haujui ni nani atakufa na ni lini atakufa, yeah?
Niliangalia GoT na kuona wale niliotamani wasiuliwe wanauliwa hadi nikazoea.