Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nataifuatilia siku zingine. Acha episodes zitoke kadhaa.Sawa Ngoja niendelee!
Animation series ishatoka leo iangalie kama unapenda marvel's stuffs, Nasubiria atakayokuwepo Chad!
View attachment 1888058
Kwa sababu gani?
Niseme ukweli wakati naandika huu uzi nilikua nipo S5 nikaenda kwanza Youtube kuangalia kifo chake.Hii nataifuatilia siku zingine. Acha episodes zitoke kadhaa.
Huyu mtu nampenda sana naona tunafanana kiasi fulani tabia na muonekano (personality) hata kwenye maisha halisi ndio maana namtumia kwenye Avatar yangu. Napenda sana anavyojitoa kupigania wengine hajali kuhusu yeye ananifanya nipende kua mtu mwema. Kikubwa ni kutokusema uongo no matter what...Jon Snow
Nachompendea siku zote yupo kwenye haki tu hata kama wote watakua kinyume nae ila kama ni jambo sahihi atafanya halafu anaushawishi sana na anakubalika mno.. anaweza kufanya ukafa ajili yake...Napenda anavyotoa speech zake asee ni hatariCaptain America.
Napenda yupo kama Captain America, halafu anahamasisha balaa kwa speech zake.Optimus Prime (Transformers)
Nashindwa kuelewa napenda character ya daredevil au actor mwenyewe ambae ni Charlie Cox, yaani namkubali sana huyu jamaa alivyo mpole halafu anasimama kwenye hakii Always.. kikubwa yeye hau maadui anaamini kila mtu anahitaji second chance/redemption ya kubadirika na kua mwema.Matt Murdock (Daredevil)