Siku za hatari kwa mwanamke

Siku za hatari kwa mwanamke

Wakuu hivi mwanamke anakua danger days kwa sku ngap maan nimeambiwa atakua danger days had January. Je sipigwi kwel hapa?
Ni kweli, ndio muda wa vikoba na kodi za nyumba na ada za shule
 
Muache akaiuze kwanza mana ww hua unapewa bure hvy hakuna haraka, uzuri ile kitu haina makombo hvy utaletewa ikiwa mzima ila labla utakuta imeongezeka ukubwa 😂
 
Muache akaiuze kwanza mana ww hua unapewa bure hvy hakuna haraka, uzuri ile kitu haina makombo hvy utaletewa ikiwa mzima ila labla utakuta imeongezeka ukubwa 😂
Usiandike hivi naumia roho mwenzenu mjue.
 
Tafuta nyingine uipige uwe nazo mbili au tatu
 
Yaani kuna zile unaziongeza for emergency ndio zinatimia 10
 
Mkuu hii duara ni ngumu sana kulifuata kwa wanawake wa sikuhizi.

•Sababu kuna kuna kundi la wanawake wengi sikuhizi aidha wanawahi sana Siku20-24 au wanachelewa sana Wanaenda mpaka siku 30,31,32,33,35....

•Kama wanatumia njia za asili inafaa kwanza jamaa ajue Demu wake yupo kundi lipi Normal, Anawahi au Anachelewa!

Labda mkuu didy muhenga utuambie Girfriend wako anaenda siku ngapi, Nitakusaidia kupiga hesabu rahisi! Za kujia siku hatari, Siku ya kupata mtoto wa kiume, kike n.k
 
Back
Top Bottom