Siku za kifungo Jela zinahesabikaje?

Siku za kifungo Jela zinahesabikaje?

Wanasheria nauliza siku za kifungo huko Jela huwa zinahesabiwaje..Je ni kwa mfumo wa 24hr per day au day and night inajitegemea.

Niliwahi kusikia sehemu fulani kuwa MTU kwamfano akihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela inamaanisha atakaa jela miaka 15 tu.

Karibuni kwa ufafanuzi

Kule siku tatu inahesabiwa ni siku moja,mkuu unajiandaa kufungwa nini mbona unaulizia
 
Naona majibu ya aina mbili

Bado sijajua lipi ni lenyewe hasa,ni nusu au ni theluthi mbili
 
Wajuvi wa mambo ya sheria na ilimu dunia mnijuze,hivi kuna tofauti siku zinavyohesabiwa mtu akiwa gerezani na huku uraiani???baadhi husema eti gerezani siku moja huhesabiwa kwa masaa 12,na sio 24 kama huku uraiani.........
 
Nnavyojuwa mimi ni kwamba ukihukumiwa miezi 6, basi utakaa jela miezi mi 3 tu...kutwa wao wanahesabu whole day, na night pia wanahesabu whole day...so uki-plus unapata siku mbili ndani ya 24hrs/siku moja...
 
According to the law....ukiukumiwa kifungo chochote kile basi 1/3 ya kifungo chako umesamehewa hivyo basi let say umehukumiwa miaka 12 basi utakaa jela miaka 8 maana 1/3 ya kifungo umesamehewa.

You serve 2/3 of your sentence with exemptional of life imprisonment and hanged to death sentences.
 
Back
Top Bottom