Siku za kifungo Jela zinahesabikaje?

Siku za kifungo Jela zinahesabikaje?

According to the law....ukiukumiwa kifungo chochote kile basi 1/3 ya kifungo chako umesamehewa hivyo basi let say umehukumiwa miaka 12 basi utakaa jela miaka 8 maana 1/3 ya kifungo umesamehewa.

You serve 2/3 of your sentence with exemptional of life imprisonment and hanged to death sentences.
Asante kwa Maelezo mkuu
 
Ninavyojua robo ya kifungo huondolewa kwenye mahesabu. Mfano ukifunngwa miezi sita unakaa mine,ukifungwa mwaka unakaa miezi nane
Hakuna hicho kitu kwa jela zetu hata ukae mahabusu miaka nane ukahukumiwa miaka nane ni utaitumikia.
 
Nnavyojuwa mimi ni kwamba ukihukumiwa miezi 6, basi utakaa jela miezi mi 3 tu...kutwa wao wanahesabu whole day, na night pia wanahesabu whole day...so uki-plus unapata siku mbili ndani ya 24hrs/siku moja...
Hapana, siku inahesabiwa kama kifurushi chako cha masaa 24 kinavyohesabiwa.
 
According to the law....ukiukumiwa kifungo chochote kile basi 1/3 ya kifungo chako umesamehewa hivyo basi let say umehukumiwa miaka 12 basi utakaa jela miaka 8 maana 1/3 ya kifungo umesamehewa.

You serve 2/3 of your sentence with exemptional of life imprisonment and hanged to death sentences.
Ukifungwa miaka 10 unakaa miaka 10.
 
Kuna baadhi ya wadau wanapotosha, mjadala uishe kwa namna hii wakuu.
.
Ukihukumiwa miezi sita au miaka mitano utaitumikia yote kama ilivyo vinginevyo uwe umefanya makosa yanayoweza kutolewa msamaha na hapo itategemea na nidhamu yako kifungoni ahsante.
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]kumbe 2/3 inategemea na miaka uliyohukumiwa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameelezea kuhusu 1/3 mkuu, hiyo haipo usidanganyike na maneno ya kwenye kahawa, mfano mzuri kuna jamaa alikutwa na makosa ya kumkata mapanga mkewe akala miaka saba toka 2007 hadi 2013 ndipo akatoka.
.
Tembelea magereza siku za jumapili ukasalimu ndugu, jamaa na marafiki wakuambie😂😂
 
According to the law....ukiukumiwa kifungo chochote kile basi 1/3 ya kifungo chako umesamehewa hivyo basi let say umehukumiwa miaka 12 basi utakaa jela miaka 8 maana 1/3 ya kifungo umesamehewa.

You serve 2/3 of your sentence with exemptional of life imprisonment and hanged to death sentences.
hanged=hung
 
Nakumbuka iyo kitu ilikuwaga miaka ya nyuma mpaka katika utawala wa awamu ya nne,ila ilivyoingia awamu ya tano mheshimiwa akaifutilia mbali hukumu iyo ya 1/3,kwani wengi wa wahalifu walikuwa wanaichekelea pale wanapohukumiwa,kwaiyo sasa ivi wanahesabu saa 24 ni sawa na siku moja tu
 
Hakuna hicho kitu kwa jela zetu hata ukae mahabusu miaka nane ukahukumiwa miaka nane ni utaitumikia.
Ukikaa mahabusu miaka miwili ukihukumiwa miaka 8 wanatoa miaka miwili uliyokaa tayari mahabusu inakuwa 6, wanatoa 1/3 unakaa miaka 4(kwa mfano), ukipita msahama wa rais ukibahatika kifungo kinazidi kupungua mpaka unaachiwa
 
Ilikuwa zamani, sasa hivi ukikaa mahabusu miaka sita ukahukumiwa sita unaitumikia, ninyi mnaojifanya wanasheria mnapotosha sana clients wenu.
.
Sasa fanya kosa uone.
 
Back
Top Bottom