Siku za kifungo Jela zinahesabikaje?

Siku za kifungo Jela zinahesabikaje?

Ilikuwa zamani, sasa hivi ukikaa mahabusu miaka sita ukahukumiwa sita unaitumikia, ninyi mnaojifanya wanasheria mnapotosha sana clients wenu.
.
Sasa fanya kosa uone.
Acha kudanganya ukihukumiwa miaka 6 unakaa miaka 4, kila mfungwa huondolewa 1/3 ya kifungo, isipokuwa ukitoroka ukakamatwa unapewa namba yako kamili yaani miaka yote uliyohukumiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwenye ulewa mzuri na aliyewahi kukaa gerezani atueleweshe
 
Miaka ya kifungo unagawa kwa tatu then unazidisha mara mbili... If umehukumiwa miaka 30 kwa kesi ya kabaka, itakuwa hv; (30 ÷3)×2= 20 years! Full stop, hakuna cha siku mbili kwa moja...
Wewe ndo upo sahihi,hakuna et usiku na mchana wala masaa 12.
 
Miaka ya kifungo unagawa kwa tatu then unazidisha mara mbili... If umehukumiwa miaka 30 kwa kesi ya kabaka, itakuwa hv; (30 ÷3)×2= 20 years! Full stop, hakuna cha siku mbili kwa moja...
mtu anatumikia robo tatu ya kifungo na robo inaondolewa
 
Back
Top Bottom