Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kama nakuona vile umeshamfu gia gheto mtoto wa shule kwakuwa hata ukikamatwa its only 15 yrs in prison. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Basi Kumbe simple [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wanasheria nauliza siku za kifungo huko Jela huwa zinahesabiwaje..Je ni kwa mfumo wa 24hr per day au day and night inajitegemea.
Niliwahi kusikia sehemu fulani kuwa MTU kwamfano akihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela inamaanisha atakaa jela miaka 15 tu.
Karibuni kwa ufafanuzi