Asante kwa Maelezo mkuuAccording to the law....ukiukumiwa kifungo chochote kile basi 1/3 ya kifungo chako umesamehewa hivyo basi let say umehukumiwa miaka 12 basi utakaa jela miaka 8 maana 1/3 ya kifungo umesamehewa.
You serve 2/3 of your sentence with exemptional of life imprisonment and hanged to death sentences.
Tofauti ya kunyongwa na kunyongwa mpaka kufa ni ipi? Na makosa gan yanapelekea hukumu hizo mbili?Asante kwa Maelezo mkuu
Hakuna hicho kitu kwa jela zetu hata ukae mahabusu miaka nane ukahukumiwa miaka nane ni utaitumikia.Ninavyojua robo ya kifungo huondolewa kwenye mahesabu. Mfano ukifunngwa miezi sita unakaa mine,ukifungwa mwaka unakaa miezi nane
Hapana, siku inahesabiwa kama kifurushi chako cha masaa 24 kinavyohesabiwa.Nnavyojuwa mimi ni kwamba ukihukumiwa miezi 6, basi utakaa jela miezi mi 3 tu...kutwa wao wanahesabu whole day, na night pia wanahesabu whole day...so uki-plus unapata siku mbili ndani ya 24hrs/siku moja...
Ukifungwa miaka 10 unakaa miaka 10.According to the law....ukiukumiwa kifungo chochote kile basi 1/3 ya kifungo chako umesamehewa hivyo basi let say umehukumiwa miaka 12 basi utakaa jela miaka 8 maana 1/3 ya kifungo umesamehewa.
You serve 2/3 of your sentence with exemptional of life imprisonment and hanged to death sentences.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kwani humu jf hakuna mtu aliewahi kufungwa au tunazinguana tu????Ukifungwa miaka 10 unakaa miaka 10.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]kumbe 2/3 inategemea na miaka uliyohukumiwa??Kuna baadhi ya wadau wanapotosha, mjadala uishe kwa namna hii wakuu.
.
Ukihukumiwa miezi sita au miaka mitano utaitumikia yote kama ilivyo vinginevyo uwe umefanya makosa yanayoweza kutolewa msamaha na hapo itategemea na nidhamu yako kifungoni ahsante.
😂😂😂 Tambua nililolisema ukifungwa miezi mitatu na usibahatishe msamaha wa rais utaitumikia yote.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kwani humu jf hakuna mtu aliewahi kufungwa au tunazinguana tu????
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaha mkuu una experience....[emoji23][emoji23][emoji23] Tambua nililolisema ukifungwa miezi mitatu na usibahatishe msamaha wa rais utaitumikia yote.
Wameelezea kuhusu 1/3 mkuu, hiyo haipo usidanganyike na maneno ya kwenye kahawa, mfano mzuri kuna jamaa alikutwa na makosa ya kumkata mapanga mkewe akala miaka saba toka 2007 hadi 2013 ndipo akatoka.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]kumbe 2/3 inategemea na miaka uliyohukumiwa??
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Nna experience ya kuwaona.
hanged=hungAccording to the law....ukiukumiwa kifungo chochote kile basi 1/3 ya kifungo chako umesamehewa hivyo basi let say umehukumiwa miaka 12 basi utakaa jela miaka 8 maana 1/3 ya kifungo umesamehewa.
You serve 2/3 of your sentence with exemptional of life imprisonment and hanged to death sentences.
Ukikaa mahabusu miaka miwili ukihukumiwa miaka 8 wanatoa miaka miwili uliyokaa tayari mahabusu inakuwa 6, wanatoa 1/3 unakaa miaka 4(kwa mfano), ukipita msahama wa rais ukibahatika kifungo kinazidi kupungua mpaka unaachiwaHakuna hicho kitu kwa jela zetu hata ukae mahabusu miaka nane ukahukumiwa miaka nane ni utaitumikia.
NoUkifungwa miaka 10 unakaa miaka 10.
Ilikuwa zamani, sasa hivi ukikaa mahabusu miaka sita ukahukumiwa sita unaitumikia, ninyi mnaojifanya wanasheria mnapotosha sana clients wenu.Ukikaa mahabusu miaka miwili ukihukumiwa miaka 8 wanatoa miaka miwili uliyokaa tayari mahabusu inakuwa 6, wanatoa 1/3 unakaa miaka 4(kwa mfano), ukipita msahama wa rais ukibahatika kifungo kinazidi kupungua mpaka unaachiwa
Sawa lawyer😱.