Acha kudanganya ukihukumiwa miaka 6 unakaa miaka 4, kila mfungwa huondolewa 1/3 ya kifungo, isipokuwa ukitoroka ukakamatwa unapewa namba yako kamili yaani miaka yote uliyohukumiwa.Ilikuwa zamani, sasa hivi ukikaa mahabusu miaka sita ukahukumiwa sita unaitumikia, ninyi mnaojifanya wanasheria mnapotosha sana clients wenu.
.
Sasa fanya kosa uone.
nasikia unapunguziwa robo ya kifungo, yaani mwaka unahesabika miezi nanemwenye ulewa mzuri na aliyewahi kukaa gerezani atueleweshe
Kabake sasaNashukuru mdau kwa uzi huu nami nimenufaika
Hapana,sio kweli. Huyo atakaa 20yrs jela.ndio
Wewe ndo upo sahihi,hakuna et usiku na mchana wala masaa 12.Miaka ya kifungo unagawa kwa tatu then unazidisha mara mbili... If umehukumiwa miaka 30 kwa kesi ya kabaka, itakuwa hv; (30 ÷3)×2= 20 years! Full stop, hakuna cha siku mbili kwa moja...
mtu anatumikia robo tatu ya kifungo na robo inaondolewaMiaka ya kifungo unagawa kwa tatu then unazidisha mara mbili... If umehukumiwa miaka 30 kwa kesi ya kabaka, itakuwa hv; (30 ÷3)×2= 20 years! Full stop, hakuna cha siku mbili kwa moja...