Tetesi: Siku za Ndalichako zehesabika WEMU, TET wanamponza.Aandaliwa kupewa Ubalozi.

Asantee kwa ushushushu! Ntafatilia kuchunguza kupitia vyanzo vingine vya habari,lisemwalo lipo!🕐 time will tell
 
Mtoa hoja hebu tulia na kulisoma upya bandiko lako. Kuna sehemu umeandika TET na sehemu nyingine TIE. Je zote ni sahihi?
 
Kwa hiyo nafasi 10 za Rais za uteuzi wa wabunge ziliongezeka au, na kama zimekuwa zikipungua mpaka sasa amebakiwa na ngapi?
Zipo vilevile,ila kutokana na kujiuzuru kwake ikabidi Rais ateue mbunge mwingine.
 
Posi hakutenguliwa ubunge wake,ila yeye aliamua kujiuzuru.

Asante kwa ufafanuzi. Kujifunza hakukomi ndugu. Mimi nilikuwa nadhani wabunge wanaojiuzulu ni wale wa upinzani kuunga mkono juhudi, du! kumbe huyu naye aliamua kuachia ngazi mwenyewe!
 
Rais akishamteua ubunge binadamu yoyote Yule kwa mujibu wa katiba yetu na Alisha kula kiapo Hana Tena mamlaka ya kutengua maamuzi yake Kama madc Rc na wakurugenzi, hii inadhibitisha habari yako hii Ni Ufukunuku...
Mbona yule aliyekuwa naibu waziri jina si mkumbuki, alibinism, alipewa ubalozi, akaandika barua ya kujiuzuru ubunge, hapo ishu ni kulazimishwa kujiuzuru ubunge unakula ubalozi kwisha,
 
Mtoa hoja hebu tulia na kulisoma upya bandiko lako. Kuna sehemu umeandika TET na sehemu nyingine TIE. Je zote ni sahihi?
TET = Taasisi ya Elimu Tanzania
TIE = Tanzania Institute of Education
Moja ni kiswahili nyingine ni kwa kiingereza, sorry.
 
Kutengua hawezi, anachofanya ni kumwambia aandike barua ya kujiuzuru ubunge then anamteua nafas atakayo
 
Huyu hapa chini ni Dr. Abdalla Possi alikuwa Mbunge wa kuteuliwa na Naibu Waziri, alivuliwa ubunge na Unaibu Waziri akateuliwa kuwa Balozi Ujerumani. Sikulaumu maana yawezekana ulikuwa hujui maana siku zote tunajifunza.

View attachment 927668
huyu hakuvuliwa ubunge, ila alijiuzuru.....
 
Tunataka kujua alipopeleka kodi zetu 1.5tln kwanza mengine baadaye
 
TET = Taasisi ya Elimu Tanzania
TIE = Tanzania Institute of Education
Moja ni kiswahili nyingine ni kwa kiingereza, sorry.
Umenifungua macho sikujua kama hiyo nayo ina mwenzake anaitwa TEA - Tanzania Education Authority.
 
Rais akishamteua ubunge binadamu yoyote Yule kwa mujibu wa katiba yetu na Alisha kula kiapo Hana Tena mamlaka ya kutengua maamuzi yake Kama madc Rc na wakurugenzi, hii inadhibitisha habari yako hii Ni Ufukunuku...
Ilikuaje kwa Dr Posi mkuu.....
 
Rais akishamteua ubunge binadamu yoyote Yule kwa mujibu wa katiba yetu na Alisha kula kiapo Hana Tena mamlaka ya kutengua maamuzi yake Kama madc Rc na wakurugenzi, hii inadhibitisha habari yako hii Ni Ufukunuku...

Uongo.Mbona yule naibu waziri mlemavu wa Ngozi aliteuliwa mbunge na bado alitolewa ununge na kupelekwa ubalozini?
 
Rais akishamteua ubunge binadamu yoyote Yule kwa mujibu wa katiba yetu na Alisha kula kiapo Hana Tena mamlaka ya kutengua maamuzi yake Kama madc Rc na wakurugenzi, hii inadhibitisha habari yako hii Ni Ufukunuku...
Vip kuhusu Balozi Possi? Hebu tupe ufafanuzi ilikuwaje akatoka na kuwa Balozi?
Labda hoja iwe nafasi ya Joyce iende kwa mwanamke na sio mwanaume tena na hapa mpaka ajiuzulu mwenyewe japo kuficha aibu atatangaza kujiuzulu na hapo ndio nafasi itakuwa wazi.
 
Wewe mleta hoja,huyo unayemsema ni profesa,mama yangu,ila siyo mwanasiasa na hata miiko ya taaluma yake ninafikiri ameshaivunja zamani sana.Huyu mimi binafsi sioni mchango wake kitaalamu kulingana na taaluma yake zaidi ya kuwa mgeni rasmi kwenye hafra mbalimbali.Hana neno la kitaalamu juu ya taaluma ya nchi hii.Hana neno kwa watu ambao wamejitoa wao na ndugu zao na raslimali zao kuwa watu wa wizara yake.Hana mkakati wa kuwasaidia kama mlezi na mzazi wa watu hawa badala yake anawaundia bodi ya kitaaluma itakayoendelea kuwafyeka hata kama yeye,wizara na taifa limewasusa wakati wote.Huyo anayesemwa kumriplesi ni kweli,ni wahuko,lakini mwenye siasa zaidi ya utaalamu wa taaluma yake kwenye utendaji.Wizara ya elimu inahitaji si msomi tu bali mzalendo.Huyo alishindwa kuwa mzalendo kwa chama chake cha awali na kile walichokiunda,atakuwa mzalendo kwa jambo la kitaifa kama hili?
 
Rais akishamteua ubunge binadamu yoyote Yule kwa mujibu wa katiba yetu na Alisha kula kiapo Hana Tena mamlaka ya kutengua maamuzi yake Kama madc Rc na wakurugenzi, hii inadhibitisha habari yako hii Ni Ufukunuku...
Possy hivi alikuwa diwani au mbunge?
 
Rais akishamteua ubunge binadamu yoyote Yule kwa mujibu wa katiba yetu na Alisha kula kiapo Hana Tena mamlaka ya kutengua maamuzi yake Kama madc Rc na wakurugenzi, hii inadhibitisha habari yako hii Ni Ufukunuku...
Si kwa serikali hii, rejea ubunge wa Dk Possi aliyepelekwa ubalozi Ujerumani...
 
Rais akishamteua ubunge binadamu yoyote Yule kwa mujibu wa katiba yetu na Alisha kula kiapo Hana Tena mamlaka ya kutengua maamuzi yake Kama madc Rc na wakurugenzi, hii inadhibitisha habari yako hii Ni Ufukunuku...
Kwa yule Ponsi ilikuwaje?
 
Haya Kitila Mkumbo, wizara hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…