Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,459
- 699
Zote ni sawa, TET ni taasisi ya elimu tanzania, na TIE ni tanzania institute of education.Mtoa hoja hebu tulia na kulisoma upya bandiko lako. Kuna sehemu umeandika TET na sehemu nyingine TIE. Je zote ni sahihi?
Kwani huyu ni mwanamke? Maji yanapatikana nchi nzima kama mkakati wao wa kisera na ilani inavyoeleza? Kama bado ameshindwa kufikia lengo itakuwaje kwa wizara hii ya elimu iliyozoea kujiongoza yenyewe? Atakuwa na jipya au naye atakuja na yake?
Kwani Dkt. Possi ilikuwaje? Revisit your memory and recordsRais akishamteua ubunge binadamu yoyote Yule kwa mujibu wa katiba yetu na Alisha kula kiapo Hana Tena mamlaka ya kutengua maamuzi yake Kama madc Rc na wakurugenzi, hii inadhibitisha habari yako hii Ni Ufukunuku...
Huyu hapa chini ni Dr. Abdalla Possi alikuwa Mbunge wa kuteuliwa na Naibu Waziri, alivuliwa ubunge na Unaibu Waziri akateuliwa kuwa Balozi Ujerumani. Sikulaumu maana yawezekana ulikuwa hujui maana siku zote tunajifunza.
View attachment 927668
Rais akishamteua ubunge binadamu yoyote Yule kwa mujibu wa katiba yetu na Alisha kula kiapo Hana Tena mamlaka ya kutengua maamuzi yake Kama madc Rc na wakurugenzi, hii inadhibitisha habari yako hii Ni Ufukunuku...
Posi hakutenguliwa ubunge wake,ila yeye aliamua kujiuzuru.
Elimu ya tanzania imekua ni kichwa cha mwendawazimu kila waziri anajifunzia
Rais akishamteua ubunge binadamu yoyote Yule kwa mujibu wa katiba yetu na Alisha kula kiapo Hana Tena mamlaka ya kutengua maamuzi yake Kama madc Rc na wakurugenzi, hii inadhibitisha habari yako hii Ni Ufukunuku...
Ubunge wake haukutenguliwa Bali alijiuzulu mwenyewe kwa mujibu wa barua aliyowasilisha kwa spika ndugai iliwasilishwa kwa umma Kama kulikuwa na shinikizo au makubaliano nyuma ya pazia Hilo sisi hatufahamu, ongea kwa mujibu wa sheria, na si kwa mujibu wa mabavu au uropokwaji wa viongozi mkuu, mi naongea kwa mujibu wa katiba, ndio maana JK alishindwa kwa James mbatia alipomteua ubunge akala kiapo mwisho wa siku akaja akawa mwiba ktk serkali iliyomteua...Huyu hapa chini ni Dr. Abdalla Possi alikuwa Mbunge wa kuteuliwa na Naibu Waziri, alivuliwa ubunge na Unaibu Waziri akateuliwa kuwa Balozi Ujerumani. Sikulaumu maana yawezekana ulikuwa hujui maana siku zote tunajifunza.
View attachment 927668
Hilo linawezekana lakini si kumtumbua Haiwezekani kwa mujibu wa sheria zetu...Unamkumbuka yule balozi Possi alikuwa mbunge wa kuteuliwa?
Hata huyu linaeza undwa zengwe ajiuzuru ili kuweka vema mambo.
Umemaliza mkuu kabla hata sijatuma ushahidi wangu...
Alijiuzulu mwenyewe mkuuHuyu hapa chini ni Dr. Abdalla Possi alikuwa Mbunge wa kuteuliwa na Naibu Waziri, alivuliwa ubunge na Unaibu Waziri akateuliwa kuwa Balozi Ujerumani. Sikulaumu maana yawezekana ulikuwa hujui maana siku zote tunajifunza.
View attachment 927668
Rais hana mamlaka ya kutengua uteuzi wa mbungeHuyu hapa chini ni Dr. Abdalla Possi alikuwa Mbunge wa kuteuliwa na Naibu Waziri, alivuliwa ubunge na Unaibu Waziri akateuliwa kuwa Balozi Ujerumani. Sikulaumu maana yawezekana ulikuwa hujui maana siku zote tunajifunza.
View attachment 927668
Unahisi alijiuzuru kujiamulia yeye?Possi Rais akutengua bali Possi alijiuzuru Ubunge.