Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Baada ya utawala w Ayatollah Ali Khamenei kuua waandamanaji zaidi ya 16,000 utawala huo unabidi uanze kutia maji kichwani tayari kuanza kunyolewa wiki hii au wiki chache zinazokuja.
Utawala huo lazima ushambuliwe maana umejaa damu katika mikono yake.
Kulikuwa na mazungumzo mengi kuhusu maandamano nchini Iran, lakini yalizama kwenye damu…Kufikia wakati wanasiasa walipoanza kuunda misimamo, Ayatollah walikuwa tayari wamewaua maelfu…Iran itakuwaje baada ya umwagaji damu huu? Ikiwa utawala utasalia, unatuma ishara wazi kwa kila mnyanyasaji: kuua watu wa kutosha na wewe unabaki madarakani,”
Kwa sababu hiyo Utawala huo lazima ushambuliwe tu watake wasitake lazma damu za waandamanaji zilipwe!!!!!