Siku za utawala wa Ayatollah huko iran zinahesabika

Siku za utawala wa Ayatollah huko iran zinahesabika

Hivi ninyi Wafuga Midevu na Majini ni nani aliyewaroga? Hivi mna amini Iran anaweza simama Vitani na Marekani na akawa salama? Endeleeni kuwapa kichwa Iran kama mlivyokuwa mnawaramba matako Hamas,Hezbollah na Houth sasa hivi wako wapi? Mbona siwasikii mkiwasifiasifia kama zamani? Kwenye vita vya siku 12 na Israel tu Iran ilipoteza Makamanda waandamizi wengi tu na hicho kilikuwa ni kipigo cha Israel tu sasa akiingia na Marekani kutakuwa na Jeshi hapo? Kumekuwa na upotoshaji mwingi kuhusu vita vya siku 12 Kati ya Israel na Iran kwa Wafuga Midevu na Majini kama wewe kuwasifia Iran kwa kuharibu majengo huko Israel na kusahau maelfu ya Wairan waliouliwa katika vita hiyo wakiwemo Makamanda waandamizi na Mkuu wao wa majeshi. Kwa upande wa Israel iliweza kutumia Iran ndege-vita zaidi ya 200 na kulitawala anga lote la Iran na hawa kupoteza ndege hata moja katika Operation yao hiyo na hakuna askari wao hata mmoja aliyekuwa kwa siku zote 12 za vita. Haya yote Wafuga midevu na Majini hawajui wamemezeshwa propaganda zisizo za kweli!!!!! Makamanda waliouwawa na majeshi ya Israel hawa hapo chini
Hivi ninyi Wafuga Midevu na Majini ni nani aliyewaroga? Hivi mna amini Iran anaweza simama Vitani na Marekani na akawa salama?

Endeleeni kuwapa kichwa Iran kama mlivyokuwa mnawaramba matako Hamas,Hezbollah na Houth sasa hivi wako wapi? Mbona siwasikii mkiwasifiasifia kama zamani?

Kwenye vita vya siku 12 na Israel tu Iran ilipoteza Makamanda waandamizi wengi tu na hicho kilikuwa ni kipigo cha Israel tu sasa akiingia na Marekani kutakuwa na Jeshi hapo?

Kumekuwa na upotoshaji mwingi kuhusu vita vya siku 12 Kati ya Israel na Iran kwa Wafuga Midevu na Majini kama wewe kuwasifia Iran kwa kuharibu majengo huko Israel na kusahau maelfu ya Wairan waliouliwa katika vita hiyo wakiwemo Makamanda waandamizi na Mkuu wao wa majeshi.

Kwa upande wa Israel iliweza kutumia Iran ndege-vita zaidi ya 200 na kulitawala anga lote la Iran na hawa kupoteza ndege hata moja katika Operation yao hiyo na hakuna askari wao hata mmoja aliyekuwa kwa siku zote 12 za vita. Haya yote Wafuga midevu na Majini hawajui wamemezeshwa propaganda zisizo za kweli!!!!!
Makamanda waliouwawa na majeshi ya Israel hawa hapo chini
Hakuna kamanda yoyote katika hao aliyeuwawa kwenye uwanja wa vita,bali hao wote waliuwawa kwa kuvizia wamelala na wake zao.
 
Hakuna kamanda yoyote katika hao aliyeuwawa kwenye uwanja wa vita,bali hao wote waliuwawa kwa kuvizia wamelala na wake zao.
Kamanda mwandamizi unaendekeza usingizi na ngono wakati nchi iko kwenye tahadhali unategemea nini? Je hawakuwa na walinzi?

Mpaka mkuu wa majeshi anaviziwa na kuuwawa wewe bado unasema Iran wana Jeshi??
 
Hayo Maneno Tu Hata kwenye Kanga Yapo Mwambieni huyo shoga wenu Iran sio Iraq wala Venezuela
 
🚨 MFANO WA VIKOSI VYA KIJESHI VYA MAREKANI | KATIKA UMBALI WA KUSHTUKIZA KUELEKEA IRAN

Picha ya vikosi vya Marekani vilivyopo chini ya Amri Kuu ya Marekani:

Mano Ari ya majini na vifaa vinavyoweza kutumika kurusha Makombola ya Tomahawk
1. USS Mitscher
2 USS McFaul
3 USS Oscar Austin
4 USS Roosevelt
5 USS Bulkeley
6 USS Paul Ignatius
7 USS South Dakota
8 USS Georgia
9 Hesabu ya Tomahawk:

358 + Kikosi cha mashambulizi cha Abraham Lincoln (454)

Kikosi cha Mashambulizi cha Wabebaji ndege-Vita
1 USS Abraham Lincoln
2 Wasindikizaji: USS Frank E. Petersen
3 USS Spruance
4 USS Michael Murphy
5 Vikosi 9 vya wapiganaji vilipanda

Meli zingine za Jeshi la Wanamaji la Marekani
1 USS Mount Whitney
2 USS Lewis B. Puller
3 USS Tulsa
4 USS Canberra
5 USS Santa Barbara
6 USNS Carl Brashear
7 USNS Henry J. Kaiser
8 USNS Bruce C. Heezen
9 USNS Marie Tharp

Ndege-Vita zilizozikwa
1 Vikosi 2 vya F-35
2 Vikosi 3 vya F-15E
3 Kikosi cha F-16
4 Kikosi cha A-10

Ndege za kumbe a vifaa
1 P-8A Poseidon
2 C-17A Globemaster
3 KC-135 Stratotanker
4 KC-46A Pegasus
5 KC-130J Super Hercules
6 MQ-4C Triton

Uwepo wa Walinzi wa Pwani wa Marekani
• USCGC Charles Moulthrope
• Robert Goldman
• Glen Harris
• Emlen Tunnell
• John Scheuerman
• Clarence Sutphin Jr.

Kuna chochote kinachokosekana?
B-2 ndiyo haitakuwepo!!!

Vifaa hivi vyote ni kwa ajili ya kuuondosha utawala wa kidhalimu wa Ayatollah Ali Khamenei
 

Attachments

  • IMG_4800.jpeg
    IMG_4800.jpeg
    290.9 KB · Views: 23
"Kuna uwezekano mkubwa sana Marekani ITAKUTUMIA MAKOMBORA YA TOMAHAWK KATIKA SHAMBULIO LA IRAN"

Ndege za B-2 ziliongoza katika operesheni ya Marekani ya majira ya joto iliyopita dhidi ya maeneo ya nyuklia ya Iran, lakini safu ya sasa ya malengo inaweza kuwa sahihi zaidi kwa mali zingine za Marekani.

Makombora ya Tomahawk ni silaha sahihi sana na ya masafa marefu ambayo Jeshi la Wanamaji la Marekani hurusha mara kwa mara kutoka kwa manowari na meli za juu.

Makombora ya Tomahawk yanajulikana kwa usahihi wake, huku takwimu zinazowezekana za makosa ya mviringo zikiripotiwa mara nyingi katika umbali wa takriban mita 10 au chini ya hapo kwa vitalu vya baadaye.

Kombora lina umbali unaozidi maili 1,000, kuruhusu kurusha kutoka nje ya maji ya eneo la Iran au hata kutoka maeneo ya mbali kama Bahari ya Arabia, Bahari Nyekundu, au Ghuba ya Oman.

Mkakati huu unaweka meli na manowari za Marekani katika umbali mkubwa kutoka kwa ulinzi wa pwani ya Iran na makombora ya kupambana na meli, na kupunguza sana uwezekano wa majeruhi wa Marekani wakati wa shughuli za kurusha.

Ninaamini Marekani itaondoa ulinzi wa anga wa Iran ndani ya saa chache.

Wakati wa Operesheni Rising Lion (Juni 2025), Israeli ilipata ubora wa anga kuliko magharibi mwa Iran ikijumuisha Tehran katika saa 48 tu kulingana na IDF, na ubora kamili wa anga ndani ya siku 4.

Wakati huu Iran inakabiliwa na nguvu kubwa ya risasi na ubora wa anga utapatikana haraka.


View: https://x.com/world_at_war_6/status/2014714749498380431?s=61
 
Kwa kiduku hayakurudi bule? Hiyo ni mwendelezo wa mikwara mbuzi
Baada ya muda kitambo kidogo utajua haukuwa mkwara mbuzi.

Utakapoona Ayatollah ananyolewa ndevu ndipo akili itakujia
 
Baada ya utawala w Ayatollah Ali Khamenei kuua waandamanaji zaidi ya 16,000 utawala huo unabidi uanze kutia maji kichwani tayari kuanza kunyolewa wiki hii au wiki chache zinazokuja.

Utawala huo lazima ushambuliwe maana umejaa damu katika mikono yake.

Kulikuwa na mazungumzo mengi kuhusu maandamano nchini Iran, lakini yalizama kwenye damu…Kufikia wakati wanasiasa walipoanza kuunda misimamo, Ayatollah walikuwa tayari wamewaua maelfu…Iran itakuwaje baada ya umwagaji damu huu? Ikiwa utawala utasalia, unatuma ishara wazi kwa kila mnyanyasaji: kuua watu wa kutosha na wewe unabaki madarakani,”

Kwa sababu hiyo Utawala huo lazima ushambuliwe tu watake wasitake lazma damu za waandamanaji zilipwe!!!!!
Yametimia
 
Hayo Maneno Tu Hata kwenye Kanga Yapo Mwambieni huyo shoga wenu Iran sio Iraq wala Venezuela
Bila shaka yoyote wewe ni BUMUNDA Kwa yaliyotokea sasa unaona aibu hata kuongea. wajinga wenzako wote baada ya kuliwa kichwa Gaidi Ayatollah wamekimbia.
 
Back
Top Bottom