Hivi ninyi Wafuga Midevu na Majini ni nani aliyewaroga? Hivi mna amini Iran anaweza simama Vitani na Marekani na akawa salama? Endeleeni kuwapa kichwa Iran kama mlivyokuwa mnawaramba matako Hamas,Hezbollah na Houth sasa hivi wako wapi? Mbona siwasikii mkiwasifiasifia kama zamani? Kwenye vita vya siku 12 na Israel tu Iran ilipoteza Makamanda waandamizi wengi tu na hicho kilikuwa ni kipigo cha Israel tu sasa akiingia na Marekani kutakuwa na Jeshi hapo? Kumekuwa na upotoshaji mwingi kuhusu vita vya siku 12 Kati ya Israel na Iran kwa Wafuga Midevu na Majini kama wewe kuwasifia Iran kwa kuharibu majengo huko Israel na kusahau maelfu ya Wairan waliouliwa katika vita hiyo wakiwemo Makamanda waandamizi na Mkuu wao wa majeshi. Kwa upande wa Israel iliweza kutumia Iran ndege-vita zaidi ya 200 na kulitawala anga lote la Iran na hawa kupoteza ndege hata moja katika Operation yao hiyo na hakuna askari wao hata mmoja aliyekuwa kwa siku zote 12 za vita. Haya yote Wafuga midevu na Majini hawajui wamemezeshwa propaganda zisizo za kweli!!!!! Makamanda waliouwawa na majeshi ya Israel hawa hapo chini
Hakuna kamanda yoyote katika hao aliyeuwawa kwenye uwanja wa vita,bali hao wote waliuwawa kwa kuvizia wamelala na wake zao.Hivi ninyi Wafuga Midevu na Majini ni nani aliyewaroga? Hivi mna amini Iran anaweza simama Vitani na Marekani na akawa salama?
Endeleeni kuwapa kichwa Iran kama mlivyokuwa mnawaramba matako Hamas,Hezbollah na Houth sasa hivi wako wapi? Mbona siwasikii mkiwasifiasifia kama zamani?
Kwenye vita vya siku 12 na Israel tu Iran ilipoteza Makamanda waandamizi wengi tu na hicho kilikuwa ni kipigo cha Israel tu sasa akiingia na Marekani kutakuwa na Jeshi hapo?
Kumekuwa na upotoshaji mwingi kuhusu vita vya siku 12 Kati ya Israel na Iran kwa Wafuga Midevu na Majini kama wewe kuwasifia Iran kwa kuharibu majengo huko Israel na kusahau maelfu ya Wairan waliouliwa katika vita hiyo wakiwemo Makamanda waandamizi na Mkuu wao wa majeshi.
Kwa upande wa Israel iliweza kutumia Iran ndege-vita zaidi ya 200 na kulitawala anga lote la Iran na hawa kupoteza ndege hata moja katika Operation yao hiyo na hakuna askari wao hata mmoja aliyekuwa kwa siku zote 12 za vita. Haya yote Wafuga midevu na Majini hawajui wamemezeshwa propaganda zisizo za kweli!!!!!
Makamanda waliouwawa na majeshi ya Israel hawa hapo chini
Kamanda mwandamizi unaendekeza usingizi na ngono wakati nchi iko kwenye tahadhali unategemea nini? Je hawakuwa na walinzi?Hakuna kamanda yoyote katika hao aliyeuwawa kwenye uwanja wa vita,bali hao wote waliuwawa kwa kuvizia wamelala na wake zao.
Wazee wa baharini tayari wameshafika kwenye eneo la tukio!!! Iran sasa hivi wanajiharishia tu!!
View: https://x.com/lionsofzion_org/status/2014421337255629065?s=61
View: https://x.com/war_radar2/status/2014478436652483042?s=61
Kwa kiduku hayakurudi bule? Hiyo ni mwendelezo wa mikwara mbuziNi furaha tupu huko kwa raia wa Iran. Hizi mashine haziwezi kurudi kizembe.
Pole endelea kuota.Safari hii Mtanyooka tu
YametimiaBaada ya utawala w Ayatollah Ali Khamenei kuua waandamanaji zaidi ya 16,000 utawala huo unabidi uanze kutia maji kichwani tayari kuanza kunyolewa wiki hii au wiki chache zinazokuja.
Utawala huo lazima ushambuliwe maana umejaa damu katika mikono yake.
Kulikuwa na mazungumzo mengi kuhusu maandamano nchini Iran, lakini yalizama kwenye damu…Kufikia wakati wanasiasa walipoanza kuunda misimamo, Ayatollah walikuwa tayari wamewaua maelfu…Iran itakuwaje baada ya umwagaji damu huu? Ikiwa utawala utasalia, unatuma ishara wazi kwa kila mnyanyasaji: kuua watu wa kutosha na wewe unabaki madarakani,”
Kwa sababu hiyo Utawala huo lazima ushambuliwe tu watake wasitake lazma damu za waandamanaji zilipwe!!!!!
😅Hayo Maneno Tu Hata kwenye Kanga Yapo Mwambieni huyo shoga wenu Iran sio Iraq wala Venezuela
Unacheka nini mkuu?
Rejea maneno yako hapo juu ,inasikitisha lakini imebidi nicheke kwa kilichotokeaUnacheka nini mkuu?
Sasa utakuwa mnafiki mkuu wewe huoni navyovifanya huko! Au kuuliwa Khamenei ndio imekupa credit! Kifo kwa mwanaume ni Sunah!Rejea maneno yako hapo juu ,inasikitisha lakini imebidi nicheke kwa kilichotokea
Bila shaka yoyote wewe ni BUMUNDA Kwa yaliyotokea sasa unaona aibu hata kuongea. wajinga wenzako wote baada ya kuliwa kichwa Gaidi Ayatollah wamekimbia.Hayo Maneno Tu Hata kwenye Kanga Yapo Mwambieni huyo shoga wenu Iran sio Iraq wala Venezuela